Hiki ndiyo kituko nlichowahi kukutana nacho makaburini usiku. Sitosahau

mimi nilishawahi pata mauzamauza nikiwa moja ya shule kongwe kabisa iliyopo moshi, aisee nilitoka dom ghorofani usiku wa manane kujisaidia vyoo vya nje chini kwa pembeni ya dom kuna laundry sasa siku hiyo umeme umekatika na usiku giza nene na mvua...aloo ile nakojoa nikashangaa naingiwa na hofu mpaka mwili na nywele kusimimika aloo ile kugeuka naona mrefu pembeni yangu kavaa kanzu huku kashika ubao wa square hivi kama bango mwekundu...
Aloo nilipagawa nikimshika nashika hewa, hapo hata mkojo sikumaliza nikasema nisepe nipande gorofani kabla hata sijamaliza kutoka mbio na giza lote usiku namuona mbele yangu tena...dah nilipaniki sema uzoefu ulinisaidia maana giza la usiku nilipanda ngazi ghorofani mbio sio kitoto mpaka kwa cubic yangu nakudandia dekani kitanda ninacholala nikajifunika gubigubi huku moyo mbio na nawazo tele hata sikujua usingizi ulinichukua saa ngapi kustuka kesho yake ilikua ni jumamosi nikawa niko kitandani nawaza kilichotokea usiku wa jana yake ni nini...sitasahau mpaka leo


a
 
Tunaishi na viumbe wengi sana wa ajabu ajabu,sema wakijidhihilisha ndo huwa tunaona kisanga,ila kikawaida sisi na wao tunamipaka na ndio mana ni nadra sana kuwaona kwa macho yetu ila wao kwa asilimia kubwa huwa wanatuona tu tunavyofanya vioja vyetu hapa duniani.
 
Aloo pole sana ndugu yangu, hivi viumbe vipo ila kuamini kama vipo ni mpaka uvione. Wale ambao hawakuviona huwa ni wagumu kukubali au kuelewa mada za namna hii. Ila kwa walioviona kama sisi ni fasta tu kuelewa kilichoandikwa.
 
Kweli, huwa wanatuona vizuri na wakiamua kutufanyia ushenzi ni fasta tu. Sema ndo hivyo wengi wao hawana muda wa kufuatiliana na sisi.

Wao wana deal na mambo yao binafsi.
 
Kina siku nilikua napita makaburini na baskeli sasa nikawa naona kuna mfuko mkubwa mwekundu unanifuata...

Nikakimbiza baskeli Kwa Kasi Sana kumbe tairi zote zilishatoka hata mi sijui Ila bado baskeli ilizidi kukimbia kama Ferrari
 
Kina siku nilikua napita makaburini na baskeli sasa nikawa naona kuna mfuko mkubwa mwekundu unanifuata...

Nikakimbiza baskeli Kwa Kasi Sana kumbe tairi zote zilishatoka hata mi sijui Ila bado baskeli ilizidi kukimbia kama Ferrari
Du yani baskel yako iliundwa kwa mfano wa nyoka. Hata bila miguu huwa anakimbia tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Dooo salareeee
 
watu wengi watabeza ila aslmia kubwa wanaish sehem zlotulia na sa3 4 wapo ndan uez kuona mamb ya ajab ajab ila si mapopo tunaozirirag sana sa8 ad 9 mda mwngne yan usik kam mchana vtu vya ajab kuktan navy ni sn tu ht uy anaekwmbia ulaya wanatuona sjui atjaendelea ulaya vtu vya ajab ni vng mno ht movie zao wanachkua hadith sahih kweny horor movie au datv kuna vpnd cbs reality discover id wanavpnd wanaend swhem za kutisha kutafta ghost
 
Umeandika ukweli ambao ni watu wachache sana tunaukubali na kuufahamu.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We jamaa huendi mbinguni kabisa
 
Uliponifanya nijue story ni ya uongo hapo uliposema yule mtu aliyekaa juu alikuwa anajamba,wewe ulisikiaje?🀣🀣🀣🀣🀣Hizo bange mnazochanganya na sigara Kali zitawaua
 
We WA wapi ?
Old Moshi,Uru,Kibosho,Lyamungo au weruweru?
Mimi moshi tech ila men hatuna ghorofa isipokuwa wadada pekee, sasa tulipokuwa tukitoka prep mida mibaya tulikuwa tunakutana sana na vitu vya hivyo yaani hao wanaorefuka na kufupika kiajabu.
Pia kuna mibundi mikubwa sana kama mbuni kusimama katikati ya njia so hapo lazima ugeuze na kutoka nduki kupitia njia nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…