Hiki ndiyo kituko nlichowahi kukutana nacho makaburini usiku. Sitosahau

Lyamungo sec aisee
 
Uliponifanya nijue story ni ya uongo hapo uliposema yule mtu aliyekaa juu alikuwa anajamba,wewe ulisikiaje?🀣🀣🀣🀣🀣Hizo bange mnazochanganya na sigara Kali zitawaua
Ndugu shukuru Mungu haujawahi kukutana na mauza uza ya namna hii usiku. Utaweza kumbana na mambo ambayo haitoweza amini katika maisha yako.
 
Haya mambo yapo sana, tatizo wale ambao hawajakutana nayo huona kama ni maigizo fulani, kumbe ni real story. Pole sana mkuu.
 
Acha bangi dogo
 
Umeitaja hiyo Loha umenikumbusha mbali sana. 1993 (std 2) 1994 (std 3) 1995 (std 4)

Mambo ya Amrish Puri na Mithun Chakraboth.

Movie yangu pendwa ilikuwaga Tridev (Oye Oye) Dance Dance, Disco Dancer, Vishwatmar, Andha Kanoon

Nolstagia is real

Enzi zetu mkuu Tarzan, amrikhan nilikua nikimuita amerikan, govinda, shankar, shakti

Amerika ninja, Arnold shwarznegger Comando, terminator 1 na 2, predator.

Kama sikosei Adolf movie ya Red Scorpion

Phantom soldier

Commando 5, na Commando john/Strike Commando

Deltaforce

Kitambo niliacha kufuatilia movie zao, na especially uonevu kwenye nchi za kiislamu ndio kabisaa nikawapuuza.
 
Ha ha ha!
Inaelekea na wewe unavuta ile sigara mbuzi!
 
War bus, first blood (Rambo), American Ninja (Michael Didckof) na nyingine nyingi ambazo mtu hauwezi kuandika ukazimaliza.

Mkuu huo uonevu katika nchi za kiislam una uhusiano gani na hao wacheza movie, au unafikiri na kina Rambo huenda kupigana na waislamu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Kinachonikera pia wanaigiza movie, waislamu ni maadui/magaidi halafu wazungu ndio mastaring, refer vita ya Afghanistan hadi movie wameigiza, niliangalia kidogo nikaachana nayo., na hata hiyo Deltaforce walivyo ekti, ni uhuni mtupu.
 
Kinachonikera pia wanaigiza movie, waislamu ni maadui/magaidi halafu wazungu ndio mastaring, refer vita ya Afghanistan hadi movie wameigiza, niliangalia kidogo nikaachana nayo., na hata hiyo Deltaforce walivyo ekti, ni uhuni mtupu.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ndio nimekuelewa mkuu
 
HatarπŸ”₯
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…