Hiki ndiyo kituko nlichowahi kukutana nacho makaburini usiku. Sitosahau

Tokea magomeni makuti mpaka manzese midizini kucheki movie? We jamaa nimekunyooshea mikono!!

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Kwan wakati huo kulikua na visungura? maana ingekua cha arusha usingetoka ndruuki πŸ’
 
Umeitaja hiyo Loha umenikumbusha mbali sana. 1993 ( std 2) 1994( std 3) 1995( std 4)

Mambo ya Amrish Puri na Mithun Chakraboth.

Movie yangu pendwa ilikuwaga Tridev( Oye Oye) Dance Dance, Disco Dancer, Vishwatmar, Andha Kanoon


Nolstagia is real
Hakuna kipindi kilichokuwa kitamu duniani kwa vijana kama kipindi cha miaka ya 90.
Ukizungumzia mziki wa rap huko YouTube utasikia wamarekani wanasifu kuwa miaka ya 90 kulikuwa na hip hop nzuri kuliko miaka hii.

mipira tulioangalia miaka ile tulifaidi zaidi ya miaka hii.

Hata ngumi miaka ya 90 zilikuwa nzuri kuliko miaka hii.

Hizo movie ulizotaja zimenikumbusha mbali sana πŸ˜€πŸ˜€
 
Mi mwenyewe najishangaa kila ikifika saa saba za mchana miguu yangu yangu inabadilika inakuwa kwato.Ni kamzozo.
Haujaenda kwa mwamposa tu akakurudishie miguu yako?

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Reactions: EEX
Hata walioenda kwa mkaburu miaka hio waliinjoi sana.
Kwakweli maisha ya kuinjoi yalikuwa miaka ya 90 kurudi nyuma
 
Apia kama haujaongeza chunvi apo uliposema kila wakipiga atua yule mtu waliombeba alikuwa anajamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…