Hiki ni kielezo tosha ya kwamba mpaka kufika 2050 na kuendelea ukristo utajifia barani Ulaya na America

Mfupawasokwe

Member
Joined
Sep 12, 2024
Posts
24
Reaction score
29


Hizi ni picha zikionesha umati wa watu kutoka taifa la marekani ambao ni waislamu wakiswali swala ya Taraweeh eneo la Times square katika jiji la New york nchini Marekani. Kwa ishara hii naona kabisa mpaka miaka ya 2050 ukristo utakuwa unaelekea kujifia huko nchini Marekani.
 
Ukristo ukitoweka duniani ndio mwisho wa dunia umefika, kanisa litakuwa limenyakuliwa na giza la kiroho kutawala. Watu wataifuta injili lakini hawataipata kwa neema. Wataokoka kwa gharama zao/kwa mateso makali. Unaambiwa yule mpinga kristo atashika hatamu kuitawala dunia kwa sheria na amri zake, itakuwa hakuna kununua wala kuuza mpaka uwe na chapa ya 666. Mwenye kusikia na asikie
 
Tuseme ikatokea hivyo kweli, na ukristo ukafutika watu wote wakawa waislamu.

Je, dunia itakua sehemu nzuri zaidi ya kuishi? Amani itaongezeka? Uhalifu utapungua? Vitendo vya ugaidi, mauaji, rushwa, ubaguzi, unyanyasaji wa kijinsia, ushoga nk vitaisha?

Kama hakutakua na mabadiliko yoyote katika maisha, mimi naona bora hali ibaki kama ilivyo sasa.
 
Kwani ukijifia unadhani utaongezeka nini bro, kufa kupo pale pale,watu Kama Hawa wamejaa mentality za udini basi unafarijika mno moyoni kuwa mtakuwa wengi,
 
Wazungu ni waigizaji hao wanakuja kuswali huku wamelewa
 
Hata hapa Tanzania pamoja na kwamba sasa tupo wengi ikija kufika 2045 tukiwa tunasubiri hiyo 2050 America kuwa taifa la kiislamu bongo nayo itakuwa ishajaa waislam.
 
Turudi kwenye mtazamo wa kawaida, unadhani ukristo ukitoweka ulaya na amerika ndio uislam utasitawi? Simulteneneouslly vitaondoka vyote, wazungu hawawezi kuacha ukristo na kukumbatia uislam. Once wanaachana na ukristo, other side wanauharibu uislam at the same time. Usijipe matumaini na kushabikia uislam kuwa unakua vema ulaya na amerika, hakuna kitu hicho fuatilia hali ya uislam katika nchi za kislam kindakindaki kama saudi arabia na iran uone mambo yalivyo, umagharibi unaingizwa kwa gharama kubwa, soo nchi hizo zitaachana na uislam msonge na kuwa kama za magharibi tu na ndivyo raia wao wanavyotaka kwa kufanya harakati nyingi kama let my hair be free na nyingine nyingi. Bata linaliwa kama ulaya. Mind kuwa kombe la dunia litachezwa saudia na kutakuwa na wageni wengi wa kimagharibi watakaoacha elementi za umagharibi wao huko
 
Naona mnazidi kutanua goli tu imekuwa 2050 tena? Niwaambie tu mafuriko hayazuiliki kwa mikono
 
Hizi p
Hizi picha mbili ndio kielelezo chako? Vipi na wao wakikuonesha picha jinsi wanavojaa makanisani utasema baada ya miaka 50 uislam utakua umepotea?

Mapenzi yako kwenye dini yako yasikutoe ufahamu! Wewe una dini yako na wao wana dini yao! Fanya yakupasayo mengine muachie mungu!
 
hali ibaki kama ilivyo sasa ili ushoga uendelee kushamiri kama unavyopigwa chapuo na papa francis and the entire christian world
 
Hata hapa Tanzania pamoja na kwamba sasa tupo wengi ikija kufika 2045 tukiwa tunasubiri hiyo 2050 America kuwa taifa la kiislamu bongo nayo itakuwa ishajaa waislam.
kuna jitihada kubwa sana kupromoti uislam Tanzania kipindi hichi hasa mwezi huu, angalia main stream media, tena state media kila saa ni swaum, swaum, mwezi mtukufu, tarawea utadhani tupo saudia na somalia kunako mataifa ya kiislam.
 
Wewe asilimia 80 ya hao unaowaona wameenda kufata msosi tu🥶
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…