mjanja wa kijiji
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 1,582
- 4,378
Kumbe kuswali huku umevaa capelo inaruhusiwa? naona wana wengi wamepiga capelo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na uislam je?Ukristo unakusaidia ninukifa, kikubwa pambana na maisha yako ya kila siku.
Angalia rate ya hayo uliondika katika nchi ya kikristo na kiislam then kuja na majibu kwanza ugaidi sponsored by USAIDTuseme ikatokea hivyo kweli, na ukristo ukafutika watu wote wakawa waislamu.
Je, dunia itakua sehemu nzuri zaidi ya kuishi? Amani itaongezeka? Uhalifu utapungua? Vitendo vya ugaidi, mauaji, rushwa, ubaguzi, unyanyasaji wa kijinsia, ushoga nk vitaisha?
Kama hakutakua na mabadiliko yoyote katika maisha, mimi naona bora hali ibaki kama ilivyo sasa.
Kama wao tu kitabu kimoja wanachinjana sembuse wabakie pekee yao duniani.Tuseme ikatokea hivyo kweli, na ukristo ukafutika watu wote wakawa waislamu.
Je, dunia itakua sehemu nzuri zaidi ya kuishi? Amani itaongezeka? Uhalifu utapungua? Vitendo vya ugaidi, mauaji, rushwa, ubaguzi, unyanyasaji wa kijinsia, ushoga nk vitaisha?
Kama hakutakua na mabadiliko yoyote katika maisha, mimi naona bora hali ibaki kama ilivyo sasa.
Mwarabu wa wapi ndugu?View attachment 3270216
View attachment 3270217
Hizi ni picha zikionesha umati wa watu kutoka taifa la marekani ambao ni waislamu wakiswali swala ya Taraweeh eneo la Times square katika jiji la New york nchini Marekani. Kwa ishara hii naona kabisa mpaka miaka ya 2050 ukristo utakuwa unaelekea kujifia huko nchini Marekani.
ishu sio kuwepo bali ni uwepo wa mapambano dhidi ya ushoga. Nchi za kiislamu mashoga hawana hamu ya kuishi huko. Adhabu zao ni kifo either kwa kunyongwa au kupigwa mawe mpaka kufa, tofauti na nchi za kikristo ambako wanatambulika kama watu huru wenye haki zao. NYONGEZA KIDOGO papa francis anawathamini kabisa hao mashoga.Nchi za kiislamu hakuna ushoga?
Kaka, watakaopata upendeleo wa kuokoka kwa gharama zao, ni Wayahudi tu. Wengine hata hiyo nafasi ya kuokoka kwa mateso haitakuwepo baada ya Kanisa kunyakuliwa.Ukristo ukitoweka duniani ndio mwisho wa dunia umefika, kanisa litakuwa limenyakuliwa na giza la kiroho kutawala. Watu wataifuta injili lakini hawataipata kwa neema. Wataokoka kwa gharama zao/kwa mateso makali. Unaambiwa yule mpinga kristo atashika hatamu kuitawala dunia kwa sheria na amri zake, itakuwa hakuna kununua wala kuuza mpaka uwe na chapa ya 666. Mwenye kusikia na asikie
Waislam mna inferiority complex sanahali ibaki kama ilivyo sasa ili ushoga uendelee kushamiri kama unavyopigwa chapuo na papa francis and the entire christian world
Wanajitahidi kufuta chanzo ili kutawala mwishoHuko zamani biblia iliwahi kufichwa kwa miaka 600, lakini iliibuka tena, lengo nia wazo la uislam ni kuufuta ukristo by hooks and crooks!
Nenda kamuulize Trump. Sasa hivi Biblia zinanunuliwa kwa wingi sana...View attachment 3270216
View attachment 3270217
Hizi ni picha zikionesha umati wa watu kutoka taifa la marekani ambao ni waislamu wakiswali swala ya Taraweeh eneo la Times square katika jiji la New york nchini Marekani. Kwa ishara hii naona kabisa mpaka miaka ya 2050 ukristo utakuwa unaelekea kujifia huko nchini Marekani.
Mimi naona kufa Kwa uislam uarabuni maana waarabu washasanuka kuwa Mohammed nizishi Kwasasa dini Ipo kisiasa tuView attachment 3270216
View attachment 3270217
Hizi ni picha zikionesha umati wa watu kutoka taifa la marekani ambao ni waislamu wakiswali swala ya Taraweeh eneo la Times square katika jiji la New york nchini Marekani. Kwa ishara hii naona kabisa mpaka miaka ya 2050 ukristo utakuwa unaelekea kujifia huko nchini Marekani.
Sasa, bro, ukristo ukifa, haimaniishi, ndio wana kuwa, wa islam, America, inawatu 200Milioni+, hapo kwenye picha, hawafiki hata laki moja!View attachment 3270216