Hiki ni kielezo tosha ya kwamba mpaka kufika 2050 na kuendelea ukristo utajifia barani Ulaya na America

Huko zamani biblia iliwahi kufichwa kwa miaka 600, lakini iliibuka tena, lengo nia wazo la uislam ni kuufuta ukristo by hooks and crooks!
 
Hakuna mwarabu au mwafrica mwenye uwezo wa kubadili social behaviour au characters za mzungu.

Furehieni ujio wao Saaana lakini baada ya miaka 100 kitatokea mabadiliko makubwa Sana kwenye uislim na utahifia kido Cha mende baada ya wazungu kufanyia amendment kitabu hicho kikongwe ,Cha zamani na kilichopitwa na wakati chenye furushi la Mila za zamani na zilizopitwa na wakati za middle east.Wao ndio watakaowanadilisha na sio ninyi muwabadili
 
Angalia rate ya hayo uliondika katika nchi ya kikristo na kiislam then kuja na majibu kwanza ugaidi sponsored by USAID
 
Kama wao tu kitabu kimoja wanachinjana sembuse wabakie pekee yao duniani.
Bora wapagie wapagani Dunia itakuwa na amani kuliko wabakie waislamu pekee
 
Wazungu ni wajanja sana wanataka kutengeneza aina mpya ya uislam kutoka ule wa kobaz na kanzu wanaleta uislam poa.
Uislam poa ni aina ya uislam jina tu lakini tabia na maadili ni ya mzungu unakuwa muislam mwenye tabia za ulaya.
 
Nikajua ni kama nyomi la mzee mwamposa 😂😂kumbe holaaa
 
Uongo hauwezi kudumu milele

Mchungaji A Yesu ni Mungu
Mchungaji B Yesu sio Mungu
Mchungaji C Yesu ni mtoto wa Mungu
Mchungaji D Mungu wapo 3
Mchungaji E Mungu sio 3

Waislam Yesu ni nabii wa Mungu
 
Nchi za kiislamu hakuna ushoga?
ishu sio kuwepo bali ni uwepo wa mapambano dhidi ya ushoga. Nchi za kiislamu mashoga hawana hamu ya kuishi huko. Adhabu zao ni kifo either kwa kunyongwa au kupigwa mawe mpaka kufa, tofauti na nchi za kikristo ambako wanatambulika kama watu huru wenye haki zao. NYONGEZA KIDOGO papa francis anawathamini kabisa hao mashoga.
 
Kaka, watakaopata upendeleo wa kuokoka kwa gharama zao, ni Wayahudi tu. Wengine hata hiyo nafasi ya kuokoka kwa mateso haitakuwepo baada ya Kanisa kunyakuliwa.

Conditions za kuokoka kwa mateso/upanga:

1. Ukutwe upo hai Kanisa litakaponyakuliwa.

2. Uwe Myahudi.

3. Uamini na kushikilia kuwa Yesu ni Mwokozi na Bwana wako hata uteswe vipi.
 
Nenda kamuulize Trump. Sasa hivi Biblia zinanunuliwa kwa wingi sana...

There has been a notable increase in Bible sales across the United States. According to Circana BookScan, Bible sales rose by 22% through October 2024 compared to the same period in 2023, with 13.7 million copies sold in the first 10 months of 2024. This is significant, especially since overall U.S. print book sales increased by less than 1% in the same period.
Source: The Wall Street Journal.
 
Mimi naona kufa Kwa uislam uarabuni maana waarabu washasanuka kuwa Mohammed nizishi Kwasasa dini Ipo kisiasa tu
 
Sasa, bro, ukristo ukifa, haimaniishi, ndio wana kuwa, wa islam, America, inawatu 200Milioni+, hapo kwenye picha, hawafiki hata laki moja!
Sasa, kuna, white suplimist, nationalist movements kibao, kama uliangalia cabinet meeting ya kwanza ya Trump, pale White House, walianza na Sara ya, k ukristo,
Huo ni mwanzo, tu, hawa, waliopo ikulu, ni, wakristo, walokole, hawapendi, u Islam, wale vijana walioandamana kupinga Israel, sasa hv wanakiona cha moto, hakuna student viza,kila mmoja, anarudishwa kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…