kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 13,966
- 26,220
Ni maji yameongezewa ladha ya lemonAaah! Hao ni Hill na chupa Lao la kibabe ingawa sijawahi kukigusa hicho kinywaji
Sema mtoa mada nae anafail kwanini asingemuuliza seller aliyemuuziaNi maji yameongezewa ladha ya lemon
Uza ng"ombe wako halafu geuza kwenu chap usianze kushangaa vitu vya Dar.usije ukapoteza mtaji wakoWakuu
Nimetoka kwetu simiyu ndani ndani huko kabisa nimeingia mjini leo na Lori lililobeba ng'ombe.
Nimekutana na hiki kinywaji hapa mjini,nikawa nakishangaa.nikataka kukifahamu ni kinywaji gani na kina faida gani mwilini?
Huwa wanaogopa kuonekana washambaSema mtoa mada nae anafail kwanini asingemuuliza seller aliyemuuzia
Mkuu umebadili id?Utamu wa ngoma ingia ucheze, kunywa uonje ladha yake mkuu,msukuma wa simiyu unabebwa kwenye roli la ng'ombe,wewe ni dereva,tingo,kama ni hapana ule msemo wa wasukuma ni washamba umeukamilisha leo.
Ong'wishe bhadilikaga! Nagoya
SweetyCandy mzee wako kumbe ni wa mkoani Mara anakutambiaga kuwa ni mzee wa Dar!Hayo ni maji tu ya kawaida yaliyowekwa flavour ya majani fulani hivi. Huku niliko mara moja moja huwa ninayanunua kwa bei ya shilingi 2000.
🤣🤣🤣🤣jfHongera kwa kuishi nyumba yenye tiles mkuu.
Kumbuka ameshatangaza hadharani kuniacha. Sasa sijui ni kwa nini unataka kumkumbusha tena kuhusu ex wake.SweetyCandy mzee wako kumbe ni wa mkoani Mara anakutambiaga kuwa ni mzee wa Dar!