Hiki ni kinywaji gani na kina faida gani mwilini?

Hiki ni kinywaji gani na kina faida gani mwilini?

Umejuaje boss?
nimetembea maeneo yote yanayokaliwa na wasukuma kiasili, shinyanga,simiyu,mwanza,geita na tabora japo tabora wasukuma wote ni wahamiaji, nimejifunza tabia,life style,na tamaduni zao kwa ujumla,najua matabaka ya lugha ya kisukuma mfano hicho kisukuma chako sio kisukuma halisi bali ni eidtha wazazi wako walikuwa wasukuma, wakahamia tabora ndipo ukazaliwa wewe au sababu za kurandana kama hiyo. Msukuma hatumii "ke" badala yake hutumia "gi" msukuma hatumii "wa" badala yake hutumia "o" wewe lugha yako haiendani na kisukuma wala kinyamwezi, bali ni matokeo ya mwingiliano wa wasukuma na wanyamwezi ambapo ilijitengeneza lugha ya kati. Wewe ukienda kwa kina Shimba ya Buyenze utapigwa chenga 70% ya kisukuma na ukienda unyamwezini utapigwa chenga na wanyamwezi kwa %80
Source:niamini mimi bro/trust me bro.
 
Hayo NI majinyaliyoongezwa gesi na ladha Kuna mengine ya safari water hayana flavor zaidi ya hio gesi ya kuchanganya na pombe Kali au unywe hivyo hivyo Kuna wengine hunywa soda kwa sababu ya gesi iliyopo ndani ...Sasa huo ndio mbadala Kama hupendi sukari
 
Back
Top Bottom