Mpaji Mungu unaitwa huku. Ni kwamba eti wanasema mimi holoholo na wewe Mpaji Mungu ni mtu mmoja.Mpaji Mungu
Sema mtoa mada nae anafail kwanini asingemuuliza seller aliyemuuzia
Wengi hawajui, yani wauzaji wengi wanauza wapate hela tu hawajui chochote kuhusu bidhaa zao....jiulize kwanini wengi huuza hata vitu vimeexpire? Mangi kweli umuulize kwanini energy drink na beer znawekwa kwenye chupa ya rangi na sio transparent kama maji ya kunywa!!! Ugomvi huuSema mtoa mada nae anafail kwanini asingemuuliza seller aliyemuuzia
Kenehe nkoi?Amenayo minzī gatūlīlwa gesi ya Kaboni Dayokisaidi na mbika ya malimao. Odūla gwayang'wa menekele nūlū ūchanganya na mawalwa makalī. Ūlūgīkī ūlīnanota ng'waga minzī agawaida guke. Amenayo alīnagesi ūlūwang'wa mingī jūnye masuzi noi bahebu 😂
Jikite kwenye madaUtamu wa ngoma ingia ucheze, kunywa uonje ladha yake mkuu,msukuma wa simiyu unabebwa kwenye roli la ng'ombe,wewe ni dereva,tingo,kama ni hapana ule msemo wa wasukuma ni washamba umeukamilisha leo.
Ong'wishe bhadilikaga! Nagoya
huendani na kisukuma cha Shimba ya Buyenze kisukuma chake ni cha ntuzu,wewe ni kisukuma kinyamwezi hasa kinachozungumzwa kati ya wilaya za nzega,sikonge na maeneo yote ya kanda ya isikizyaKenehe nkoi?
Hongera mkuu maji unanunua elfu 2? Kweli maisha hatufanani.Hayo ni maji tu ya kawaida yaliyowekwa flavour ya majani fulani hivi. Huku niliko mara moja moja huwa ninayanunua kwa bei ya shilingi 2000.
Umejuaje boss?huendani na kisukuma cha Shimba ya Buyenze kisukuma chake ni cha ntuzu,wewe ni kisukuma kinyamwezi hasa kinachozungumzwa kati ya wilaya za nzega,sikonge na maeneo yote ya kanda ya isikizya
Umetoka simiyu leo then mpaka unajua hadi exchange rate ya leo ya sarafu yetu?Ha ha ha,kwani elfu 2 ya Tanzania nayo ni pesa mkuu?hiyo si ni sawa na us dollar 0.75 hivi?
Sasa mkuu mimi ninayelipwa 3500 kwa siku hayo maji nitayaweza?Ha ha ha,kwani elfu 2 ya Tanzania nayo ni pesa mkuu?hiyo si ni sawa na us dollar 0.75 hivi?
Ni kama tu anaponunua bia ya 2500, au kopo la juice la elfu 4000! Hayo maji yana ladha ya mint. Kwa hiyo wakati fulani badala ya kunywa soda, unaweza tu kunywa hayo maji ili upate utulivu wa nafsi.Hongera mkuu maji unanukia elfu 2? Kweli maisha hatufanani.