nimetembea maeneo yote yanayokaliwa na wasukuma kiasili, shinyanga,simiyu,mwanza,geita na tabora japo tabora wasukuma wote ni wahamiaji, nimejifunza tabia,life style,na tamaduni zao kwa ujumla,najua matabaka ya lugha ya kisukuma mfano hicho kisukuma chako sio kisukuma halisi bali ni eidtha wazazi wako walikuwa wasukuma, wakahamia tabora ndipo ukazaliwa wewe au sababu za kurandana kama hiyo. Msukuma hatumii "ke" badala yake hutumia "gi" msukuma hatumii "wa" badala yake hutumia "o" wewe lugha yako haiendani na kisukuma wala kinyamwezi, bali ni matokeo ya mwingiliano wa wasukuma na wanyamwezi ambapo ilijitengeneza lugha ya kati. Wewe ukienda kwa kina Shimba ya Buyenze utapigwa chenga 70% ya kisukuma na ukienda unyamwezini utapigwa chenga na wanyamwezi kwa %80Umejuaje boss?
Badilisha hiyo Avatar
Sijabadili ID sema huyo jamaa kaamua kutumia Avatar nayotumia mimi.Mpaji Mungu
Nibadili mimi ama wewe?Badilisha hiyo Avatar
HIi picha ulioweka kwenye profile yako ni ya mtu mwingine so nilijibu tu bila kusoma Id mambo yako mzima?? Wewe ni yanga au simbaSweetyCandy mzee wako kumbe ni wa mkoani Mara anakutambiaga kuwa ni mzee wa Dar!
Mkemee😂Sijabadili ID sema huyo jamaa kaamua kutumia Avatar nayotumia mimi.
dah! Nikiangalia mada zake afu ihusianishwe ndo mimi naishiwa nguvuMkemee😂
Niliogopa sana, nilikuwa najianda kuku Ignore😂dah! Nikiangalia mada zake afu ihusianishwe ndo mimi naishiwa nguvu
Mbona gafla sana broNiliogopa sana, nilikuwa najianda kuku Ignore😂
Nikuitie ?? Tate Mkuu fanya kazi yako asikuzoeeunataka nijiulize ?
Unajionaga na wala huna kitu Glenn kama unanisemea mimi ni bora maisha yangu kuliko yako yanasikitishadah! Nikiangalia mada zake afu ihusianishwe ndo mimi naishiwa nguvu
Umekosea kuquote au mi ndo sijaelewaUnajionaga na wala huna kitu Glenn kama unanisemea mimi ni bora maisha yangu kuliko yako yanasikitisha