Huwa najiuliza kama mtu amesoma kuanzia darasa la kwanza mpaka la saba na labda akaenda sekondari pia, inawezekanajevhu anaandika hivi:
Neno Hakuna u akuna, Usipite anaandika husipite, Ibada anaandika Hibada, hifadhi anaandika ifadhi, akiba anaandika hakiba, usitupe anaandika husitupe, mahindi anaandika maindi, hayupo anaandika ayupo. n.k.
Yani nimebaki najiuliza hiki ni kiswahili cha kisasa au?
Sio kweli huo uandishi hauhusiani kwa namna yoyote ile na kuathiriwa na lugha fulani, kuna watu hawajui lugha nyingine yoyote zaidi ya kiswahili ila uandishi wao mbovu kuliko hata mimi ambaye nimeanza kujifunza kiswahili ukubwani.Sio walio zaliwa mjin mkuu!!watu wameathiriwa na lugha mama
Ahahaha...Afadhali wewe unaacha kuchati naye, mimi huwa nazima na simu na kutoa betri kabisa Mpaka kesho, natumia line nyingine na simu nyingine
Mimi pia huwa naachaBora hao kuliko Wale wa kuandika jomoni,bhana,xaxa,p,pouwah. Me akiandika maneno hayo kwenye text message naacha kuchat nae hapo hapo.
Yaani hata tatizo siyo lugha Mama, watu wanabadilika tu wanaiga iga tu, mi hadi nikadhani labda ni vimisemo tu vitaisha, lakini unakuta hadi watu kama waandishi wa habari, wasoma habari tena kwa luninga anasoma 'abali' mi nakereka kweli, nkajua ni ndugu zangu wahaya tu kumbe siku hizi kila MTU Kiswahili kinapoteza mvuto wake hivi tunakiona, ndo hapo unaposhangaa jamani kuwa 'jomoni' inakera kweliSio walio zaliwa mjin mkuu!!watu wameathiriwa na lugha mama
Atakuwa ngosha huyo, msukuma yeye totally hajui matumizi ya R Na L huwa wanabahatisha mnoUkelewe ni wapi huko? Au na wewe ni wale wale! Ulimaanisha ukerewe!?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hahahaha, kweli mkuhu mkelimahanisha ukerewe!
Ukerewe na wwLeo asubuhi kuna jamaa yangu toka ukelewe aliniandikia:- VIPI MUMEHENDA MAZOHEZINI .
Ohoo! Ishia hapa mkuu, maana kadri unavyozidi kuongeza comment ndo manjegeka yanazidi[emoji3] [emoji3] [emoji3]Hahahaha, kweli mkuhu mkelimahanisha ukerewe!
Fuatilia post za Nikki wa II, jamaa pamoja na elimu ya uzamili ni bure kabisa.Huwa najiuliza kama mtu amesoma kuanzia darasa la kwanza mpaka la saba na labda akaenda sekondari pia, inawezekanaje anaandika hivi:
Neno Hakuna anaandika akuna, Usipite anaandika husipite, Ibada anaandika Hibada, hifadhi anaandika ifadhi, akiba anaandika hakiba, usitupe anaandika husitupe, mahindi anaandika maindi, hayupo anaandika ayupo. n.k.
Yani nimebaki najiuliza hiki ni kiswahili cha kisasa au?
Mkuu hauoni na wewe kwamba upo kundi hilo hilo?Bora hao kuliko Wale wa kuandika jomoni,bhana,xaxa,p,pouwah. Me akiandika maneno hayo kwenye text message naacha kuchat nae hapo hapo.
shikamoo teacher hivi unadhani nimeandika me kwa bahati mbaya? Nimeandika hapo Ili kujitofautisha na hao wanaoandika uhuni wa xaxa,mm,ss n.k. Nilichoandika mimi ni lugha mbili katika sentensi moja me kiingereza na yaliyobaki nimeyaandika kiswahili. Au huoni rais wako anavyochanganya lugha. Hilo sio kosaMkuu hauoni na wewe kwamba upo kundi hilo hilo?
Neno mimi wewe unaandika 'me', ndiyo maana nilipokuwa mwalimu kabla ya kustaafu nilikuwa nawalamba mboko sana wanafunzi wenye mapungufu ya uandishi wa sarufi kama wako.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji106]Bora hao kuliko Wale wa kuandika jomoni,bhana,xaxa,p,pouwah. Me akiandika maneno hayo kwenye text message naacha kuchat nae hapo hapo.
Humjibu milele ,nimecheka sana ,neno mileleUkiniandikia msg yenye maneno hayo sikujibu milele.