Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,536
- 4,621
Hapo vip!!
Nina imani kuna wataalam mbali humu wanaweza kunisaidia hili.
Leo baada ya kuamka asubuhi,katika kuangaza macho huku na kule pale ndani kwangu, niokaona imeandikwa namba 8 chini kwa rangi nyeupe kama ya chaki.
Na nina imani hakuna mtu aliyeandika kwasababu week mbili nimekuwa nalala mwenyewe,nikitoka kazini napitia kwenye biashara zangu then nikifika najiangusha tu.
Hii ishara inanichanganya sana, nina imani kuna watu humu wanaweza kuniambia jambo pasipo kuleta kejeli.
Karibuni kwa maoni na ushauri