Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,926
- 15,634
Njoo PMNi kweli mkuu,wala siwezi tengeneza story kama hii ya kutisha hivi,please nifanyaje..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo PMNi kweli mkuu,wala siwezi tengeneza story kama hii ya kutisha hivi,please nifanyaje..
Kama ni mimi natafuta chaki naongezea nane nyingine mbele alafu sideki nyumba.
Naomba niweke wazi, niliamua kuandika hivi kama kumchalenji mleta mada.Namba 8 yamaanisha utakufa baada ya siku 8, pia yawezekana upanga namba 8 ndio ukatumika. Kuandikwa chini yamaanisha utazikwa ardhini siku hiyo ya 8.
Naomba niweke wazi, niliamua kuandika hivi kama kumchalenji mleta mada.
Mimi naamini uwepo wa uchawi ila hilo tukio la namba 8 kujiandika, nachukulia ima ni mtu aliamua kuandika, au ni kiatu chake mwenyewe, au ni mdudu kama mende aliingia kwenye unga kisha akatembea kwa kuzunguka zunguka na kutokea kitu (njia alimopita) kama hiyo 8.
Nilitaka kuonesha njia mojawapo waganga wa kienyeji wanatumia kutusoma akili zetu, wakatujaza khofu kwa mambo yasokuwepo kisha wakatupiga pesa ndefu.
Mleta mada nilimjengea khofu kubwa, nikamvutia PM (mara nyingi matapeli hupenda kufanya mambo yao faragha), akaja ila tumediscuss na kushauriana mambo tofauti na alivyokuwa akidhania.
Kwa mfano hata kama ingekuwa kweli kifo cha mtu kimekaribia, hakuna yeyote (awe mchungaji, shekhe au mganga wa kienyeji) ambaye anaweza kukichelewesha au kukiwahisha mda wake.
usichukulia mambo simple hivyo mzee
Unanitisha mkuu,sema kweli bhana!
AiseeeAcha uoga agiza kitimoto na bangi puli tatu jifungie ndan kula vuta uchafu tupia kwnye iyo uku ukisonya kwa dhereuuu
Hapo vip!!
Nina imani kuna wataalam mbali humu wanaweza kunisaidia hili.
Leo baada ya kuamka asubuhi,katika kuangaza macho huku na kule pale ndani kwangu,niokaona imeandikwa namba 8 chini kwa rangi nyeupe kama ya chaki.
Na nina imani hakuna mtu aliyeandika kwasababu week mbili nimekuwa nalala mwenyewe,nikitoka kazini napitia kwenye biashara zangu then nikifika najiangusha tu.
Hii ishara inanichanganya sana,ninaimani kuna watu humu wanaweza kuniambia jambo pasipo kuleta kejeli.
Karibuni kwa maoni na ushauri