Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Tafsiri ni kuwa ndani ya siku 8 utapata demu mwenye umbo namba 8 Kama sanchoka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yesu yupi wakukanyaga mafuta ya upako? huko ndiyo mtamtapeli kabisa ninyi wachungaji wasanii.Wamekugeuza mlango wa nane.... yaani vitu vitakuwa vinaingia na kutoka .... hutakaa uwe na kitu cha kudumu.
Kwa akili yako utaenda kwa Sangoma! Nooo nenda kwa YESU
Amwi
te Polepole wa chama tena?
Asante kwa ushauri mkuuTafuta chumvi ya mawe mwanga kwenye kila pembe ya chumba alafu malizia na kwenye hayo maadishi ya namba 8 ..... Baada ya siku mbili deki chumba kizima pamoja na hayo maadishi, ukimaliza kudeki mwaga tena chumvi,
Alafu uje unishukuru [emoji124][emoji124]
Dadeki [emoji23]Kama ni mimi natafuta chaki naongezea nane nyingine mbele alafu sideki nyumba.
Asante kwa ushauri mkuu
Dah...Namba nane kama ukiichukulia kwa uzito wake ...kwanza namba 8 ni kidesimali kisha inagawika 2 kisha kwa 4...tafsiri yake Namba nane kwa kidigitali ni 1000 na hapa ndipo kwenye shida ya kutafsiri...
1000 ni namba adimu sana...imetajwa mara moja tu kwenye vitabu vya dini (biblia na quran)..[emoji56]
Ushauri:
Futa hiyo namba kisha osha mikono kwa sabuni na maji tiririka halafu endelea na mishe kama kawa
Sent using Beretta ARX 160
Niliwahi kuta mavi mlangoni kwa ofisi yangu, nikayamwagia chumvi nikamtafuta mtu akayazoa na kupasafisha, siku ingine nilikuta viunga vyeusi vimemwagwa ovyo ofisini kwangu, nikasafisha mwenyewe na kudeki maisha yakasonga, sijui kwa nini huwa naamini siwezi logwa na Shetani yoyote japo naamini nguvu za giza zipo na zinatenda kazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona bado umeleta mzaha? Kweli kiatu chake kinaweza kuchora nane kwa chaki hata kama aliikanyaga hiyo chaki?Naomba niweke wazi, niliamua kuandika hivi kama kumchalenji mleta mada.
Mimi naamini uwepo wa uchawi ila hilo tukio la namba 8 kujiandika, nachukulia ima ni mtu aliamua kuandika, au ni kiatu chake mwenyewe, au ni mdudu kama mende aliingia kwenye unga kisha akatembea kwa kuzunguka zunguka na kutokea kitu (njia alimopita) kama hiyo 8.
Nilitaka kuonesha njia mojawapo waganga wa kienyeji wanatumia kutusoma akili zetu, wakatujaza khofu kwa mambo yasokuwepo kisha wakatupiga pesa ndefu.
Mleta mada nilimjengea khofu kubwa, nikamvutia PM (mara nyingi matapeli hupenda kufanya mambo yao faragha), akaja ila tumediscuss na kushauriana mambo tofauti na alivyokuwa akidhania.
Kwa mfano hata kama ingekuwa kweli kifo cha mtu kimekaribia, hakuna yeyote (awe mchungaji, shekhe au mganga wa kienyeji) ambaye anaweza kukichelewesha au kukiwahisha mda wake.
😂😂😂😂utoe taarifa mapema pia kwenye mamlaka za Serikali zinazokuzunguka
Relax mkuu, yeye alishanielewa vema. Na hilo si tatizo tena kwake.Mbona bado umeleta mzaha? Kweli kiatu chake kinaweza kuchora nane kwa chaki hata kama aliikanyaga hiyo chaki?
Humu kuna wasengerema sana,mtu katoa kisa alichokutana nacho anaomba ushauri wengine wanaleta mzaha. Kuna wakati JF inakuwa haina maana sana kutokana na watu kama hao. Pole ndugu naamini kuna wenye weredi na hili watasaidia. Ila utoe taarifa mapema pia kwenye mamlaka za Serikali zinazokuzunguka
Siku moja nikiamka nikakuta michoro ya Quran dirisha LA chumbani kwangu,mlango Wa choo cha nje,chini kwenye paving na kwenye matairi ya gari.
Wala sikuangaika, sikufuta sikufanya lolote, mpaka Leo maisha yanaendelea,
Na hilo lilitokea ndani y Fence
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Humu kuna wasengerema sana........Pole ndugu naamini kuna wenye weredi na hili watasaidia. Ila utoe taarifa mapema pia kwenye mamlaka za Serikali zinazokuzunguka