Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,536
- 4,621
usichukulia mambo simple hivyo mzeeAcha wenge, embu tulia endelea na mishe zako
Namba 8 yamaanisha utakufa baada ya siku 8, pia yawezekana upanga namba 8 ndio ukatumika. Kuandikwa chini yamaanisha utazikwa ardhini siku hiyo ya 8.Hapo vip!!
Nina imani kuna wataalam mbali humu wanaweza kunisaidia hili.
Leo baada ya kuamka asubuhi,mara kupapasa huku na kule pale ndani kwangu,niokaona imeandikwa namba 8 chini kwa rangi nyeupe kama ya chaki.
Na nina imani hakuna mtu aliyeandika kwasababu week mbili nimekuwa nalala mwenyewe,nikitoka kazini napitia kwenye biashara zangu then nikifika najiangusha tu.
Hii ishara inanichanganya sana,ninaimani kuna watu humu wanaweza kuniambia jambo pasipo kuleta kejeli.
Karibuni kwa maoni na ushauri
Hudeki hadi ifike sikukuu ya wakulima ya nane nane.Kama ni mimi naufuta chaki naongezea nane nyingine mbele alafu sideki nyumba.
Unanitisha mkuu,sema kweli bhana!Namba 8 yamaanisha utakufa baada ya siku 8, pia yawezekana upanga namba 8 ndio ukatumika. Kuandikwa chini yamaanisha utazikwa ardhini siku hiyo ya 8.
Namba 8 yamaanisha utakufa baada ya siku 8, pia yawezekana upanga namba 8 ndio ukatumika. Kuandikwa chini yamaanisha utazikwa ardhini siku hiyo ya 8.
Mkuu, ulihitaji tafsiri halisi ya tukio hilo au upewe matumaini hewa? Labda kama umeitengeneza stori.Unanitisha mkuu,sema kweli bhana!
Sawa mkuu!!asante kwa ushauriNakushauri tafuta mchungaji wa Mungu aliyekaribu na wewe mlete nyumbani aombee hiyo sehemu , tofauti na hapo nguvu za giza watatekeleza walichokusudia kukandikia hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
te Polepole wa chama tena?
Muumba ndio kila kitu mkuu!. Uwe na kawaida ya kusali au kufanya dua kulingana na Imani yako.Hapo vip!!
Nina imani kuna wataalam mbali humu wanaweza kunisaidia hili.
Leo baada ya kuamka asubuhi,mara kupapasa huku na kule pale ndani kwangu,niokaona imeandikwa namba 8 chini kwa rangi nyeupe kama ya chaki.
Na nina imani hakuna mtu aliyeandika kwasababu week mbili nimekuwa nalala mwenyewe,nikitoka kazini napitia kwenye biashara zangu then nikifika najiangusha tu.
Hii ishara inanichanganya sana,ninaimani kuna watu humu wanaweza kuniambia jambo pasipo kuleta kejeli.
Karibuni kwa maoni na ushauri
Ni kweli mkuu,wala siwezi tengeneza story kama hii ya kutisha hivi,please nifanyaje..Mkuu, ulihitaji tafsiri halisi ya tukio hilo au upewe matumaini hewa? Labda kama umeitengeneza stori.