Hiki ni kitu cha ajabu sana nimekiona kwa macho yangu

Tafsiri ni kuwa ndani ya siku 8 utapata demu mwenye umbo namba 8 Kama sanchoka
 
Wamekugeuza mlango wa nane.... yaani vitu vitakuwa vinaingia na kutoka .... hutakaa uwe na kitu cha kudumu.

Kwa akili yako utaenda kwa Sangoma! Nooo nenda kwa YESU
Yesu yupi wakukanyaga mafuta ya upako? huko ndiyo mtamtapeli kabisa ninyi wachungaji wasanii.
 
Asante kwa ushauri mkuu
 
Haya mambo yakinguvu za giza me nachukia sana ni usedee life ni yakawaida mtu sio bilionea unaparangana kivyako lakin mafalax wanaona cjui unafaid sana wakat hamna kitu me nikikukuta risasi inakuhusu no matter ni pepo au mtu
 
Niliwahi kuta mavi mlangoni kwa ofisi yangu, nikayamwagia chumvi nikamtafuta mtu akayazoa na kupasafisha, siku ingine nilikuta viunga vyeusi vimemwagwa ovyo ofisini kwangu, nikasafisha mwenyewe na kudeki maisha yakasonga, sijui kwa nini huwa naamini siwezi logwa na Shetani yoyote japo naamini nguvu za giza zipo na zinatenda kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 




Hahhahahaaha alwys comment zako ni za kimisukule tu🤣🤣
 

GIRITA njoo hapa....uone ushuhuda!,
Mie pia naamini ushirikina upo ila naamni hakuna mloz anayeweza kuniloga jamani...! Hii nagombana kbs na watu nawakeraa.!
 
Humu kuna wasengerema sana,mtu katoa kisa alichokutana nacho anaomba ushauri wengine wanaleta mzaha. Kuna wakati JF inakuwa haina maana sana kutokana na watu kama hao. Pole ndugu naamini kuna wenye weredi na hili watasaidia. Ila utoe taarifa mapema pia kwenye mamlaka za Serikali zinazokuzunguka
 
Mbona bado umeleta mzaha? Kweli kiatu chake kinaweza kuchora nane kwa chaki hata kama aliikanyaga hiyo chaki?
 
Siku moja nikiamka nikakuta michoro ya Quran dirisha LA chumbani kwangu,mlango Wa choo cha nje,chini kwenye paving na kwenye matairi ya gari.
Wala sikuangaika, sikufuta sikufanya lolote, mpaka Leo maisha yanaendelea,
Na hilo lilitokea ndani y Fence

Sent using Jamii Forums mobile app
 


🤣🤣🤣ningekuwa mwenyekiti wa mtaa ningekutoa baru balaa .khaaa🤣🤣🤣
 


Kuna nyumba tulihamia miaka ya nyuma kidg bas kila siku dada akifagia nje anaokota 50!...tuliokota zike hamsini zaidi ya miez mitatu..mie nikawa naenda nunua pipi najilia.hapo mwenzangu kipara kinasweat balaa...!
 
Humu kuna wasengerema sana........Pole ndugu naamini kuna wenye weredi na hili watasaidia. Ila utoe taarifa mapema pia kwenye mamlaka za Serikali zinazokuzunguka
Dah...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]


Sent using Beretta ARX 160
 
Kanunue Boks zima la Chaki, Black Board na kifutio kbsaa kumsaidia asipate tabu,
Na Kila akiandika Unampa Vema [emoji818]...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…