Io ni dawa ya fungus,.ya kuingiza kwa ndani.Sina maelezo ni picha hizi ni dawa gani?
Mzee fanya u Google tu majibu yanakujaSina maelezo ni picha hizi ni dawa gani?
Labesten (Clotrimazole) ni antifungal,kuna shida gani?Sina maelezo ni picha hizi ni dawa gani?
Dawa ya fungus hiyo dogo.... Wanawake kupata fungus huko chini ni kawaida kama hawazingatii usafi sana.....Sina maelezo ni picha hizi ni dawa gani?