Hiki ni kiwango kilichopitiliza cha Ukatili kwa watoto

Kuna shule ya ipo karibu yangu hapa madogo wanakula sana mboko, sasa imagine dogo kala mboko skuli, kafika home msosi hakuna, anawahi madrasa huko nako anakutana na bakora 5 za moto.

Huyu akija kua kibaka kukutia bisu hataona kazi dadeki.
Ni kweli maana amepikwa kikatili akapikika haswaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…