Hiki ni kiwango kilichopitiliza cha Ukatili kwa watoto

Hiki ni kiwango kilichopitiliza cha Ukatili kwa watoto

Sidhani kama dini inataka hivi.

Oneni wenyewe. Aione Dkt. Gwajima D

Amefanya kosa gani huyo mtoto? Tukumbuke kuacha au kuepuka kukuza mambo. Hiyo adhabu ni kawaida sana na ni jambo jema kumwadabisha mtoto.
Kumbuka hata Serikali huwaadhibu raia wake pale wanapothibitika pasi na shaka kufanya makosa. Huyo mtoto ni nani hata asiadhibiwe kama kweli ametenda kosa?? Wenzetu wana-kamsemo kao "Spare the rod, spoil the child" Adhabu ya kuchapwa fimbo ilikuwepo tangia zamani na ilikuwa kawaida mtoto Ke huchapwa kwenye mikono(viganja), Me huchapwa kwenye makalio. Wewe mzazi wa kisasa unasema eti ni Ukatili uliopitiliza. Jitafakari.
 
Ninyi ndio mmeifanya hii nchi kua masikini mpaka kesho.

Yaani unachapwa uchi na unakaa kimya, mlikua mazombi wa namna gani aisee.
OK. Nyie wa kisasa na hizo kelele zote mmefika wapi? Mbona umasikini bado umetamalaki halafu hao watoto wenu mayai-mayai ndo wamejikita kwenye matendo yale ya "aibu tupu"? Si anajua hakuna kuchapwa sana-sana atafokewa-fokewa halafu inaisha. Hao ndo wamama na wababa wa kizazi hiki. Halafu tunasema eti Mwl. amemlawiti mwanafunzi kumbe mwl mwenyewe alilelewa kwamba akifanya kosa atafokewa-fokewa na inaisha asijue kwamba hapo anaenda kuchezea miaka 30+ na viboko juu - alivyokuwa anadhani ni Ukatili.
 
Nilimpa kichapo mwalimu nikiwa darasa la 2,Ndio maana naongea nilichokifanya mkuu nikiwa mtoto!
Labda sema uligoma kuadhibiwa na sio eti ulimpa kichapo mwl. Mtoto Darasa la 2 ulikuwa na umri gani hata kuweza kumpiga mwl.? Au ww ulikuwa ni mmoja wa watoto waliokwenda shule wakiwa na umri mkubwa?
 
Hajawahi washenyeta mzee. Au unataka na watoto wa sasahvi wavuliwe bukta kama wewe. Hivi una watoto wewe.
Kwa mwelekeo na hali iliyofikiwa na kizazi hiki cha sasa; mtu anaona kuvuliwa bukta ni udhalilishaji na kwamba lengo au utekelezaji unaofuata ni hicho ulichosema kushenyeta. Matokeo yake angalia matokeo ya mitihani Form 4 na shule zilivyo-perfom halafu fuatilia aina ya shule.
 
Ukatili wa hali ya juu
Yote haya ni ukosefu wa uangalizi wa wazazi walitakiwa wajue mazingira ya watoto wao kila wanapotakiwa kuwa
Mkuu, mbona unasema ni ukatili wa hali ya juu???? Yan mtoto anachapwa viboko (zamani tukiita "mboko" )tena katika eneo stahiki viganjani kwa Ke; halafu unasema ni Ukatili tena wa hali ya juu. Hebu toa mapendekezo au ushauri wako ulitaka nini kifanyike au ni hatua gani zichukupale mtoto anapokuwa katenda kosa?
 
Amefanya kosa gani huyo mtoto? Tukumbuke kuacha au kuepuka kukuza mambo. Hiyo adhabu ni kawaida sana na ni jambo jema kumwadabisha mtoto.
Kumbuka hata Serikali huwaadhibu raia wake pale wanapothibitika pasi na shaka kufanya makosa. Huyo mtoto ni nani hata asiadhibiwe kama kweli ametenda kosa?? Wenzetu wana-kamsemo kao "Spare the rod, spoil the child" Adhabu ya kuchapwa fimbo ilikuwepo tangia zamani na ilikuwa kawaida mtoto Ke huchapwa kwenye mikono(viganja), Me huchapwa kwenye makalio. Wewe mzazi wa kisasa unasema eti ni Ukatili uliopitiliza. Jitafakari.
Hujawahi pata mtoto. Siku ukipata utajua maumivu ya hao watoto kama mzazi. Fimbo ni sawa lakini sio unamchapa mtoto kama unachapa ng'ombe.
Mimi ni kizazi cha zamani ila kamwe mwalimu asingenipiga hivyo na baba angu akamuacha.
 
Sio kweli. Sema ukweli ili ujiweke huru. Hakuna mtu kizazi cha zamani ambaye huko shuleni esp.Shule ya Msingi, hakuwahi kuchapwa viboko. Labda awe hakuenda shule aliogopa umande na viboko. Kwani mama; wewe ulipata mtoto kwa njia gani tofauti ambayo ilikuwa na amumivu makali zaidi ya akina mama wengine??? Hata hivyo mtoa adhabu anatumia fimbo ndogo na hatumii nguvu kiasi hicho ambacho wewe unasema/unalalamika eti kana kwamba anachapa ng'ombe. Proffesionaly , Hata ng'ombe hastahili kuchapwa kwa nguvu ujue. Nakushauri umlee mtoto wako kwa Hekima na Weledi wa hali ya juu ili kesho asije akawa ni kichomi kwako halafu Tena akiwa ni Ke ndo usiseme -hakuna rangi utaacha kuona. Je, Baba yako yupo? Kama yupo hebu muulize alivyokukuza au kukulea uone kama hakuwahi kukupa adhabu.
 
Mkuu, huyo mtoto kwenye vid bado mwili wake haufikia kiwango na status ya kukubalika kuwa ndo dhamana yake. Unless mtu awe ni mbakaji.
Kwa faida za siku za usoni hapo anampiga mtoto vipi mkewe akimkoseaga.
 
OK. Nyie wa kisasa na hizo kelele zote mmefika wapi? Mbona umasikini bado umetamalaki halafu hao watoto wenu mayai-mayai ndo wamejikita kwenye matendo yale ya "aibu tupu"? Si anajua hakuna kuchapwa sana-sana atafokewa-fokewa halafu inaisha. Hao ndo wamama na wababa wa kizazi hiki. Halafu tunasema eti Mwl. amemlawiti mwanafunzi kumbe mwl mwenyewe alilelewa kwamba akifanya kosa atafokewa-fokewa na inaisha asijue kwamba hapo anaenda kuchezea miaka 30+ na viboko juu - alivyokuwa anadhani ni Ukatili.
Wa kisasa bado wanalelewa, ninyi wa miaka hiyo mnaojisifu kupigwa sana sasa hivi wengi wenu ndio nmeshakua watu wazima.
 
Yaani, eti mtu anazaa ila kulea, anayo sera ya kupiga. Watoto wengine wagonjwa wa akili, kadri unavyompiga anaugua zaidi.... Ndiyo maana baadhi ya Wazee kumbe bond na watoto hakuna, kumbe vita ya hisia ilianza zamani
Kabisa, kuna watoto kujitetea hawezi. Kosa sio lake ila ndio hivyo anajua hata aseme nini atapigwa tu.
Unazidi kumjengea kutojiamini mpaka anakua mtu mzima.
 
Sikuizi ukimchapa mtoto watu wanakushangaa ila wakati tunakua ilikua kawaida sana. Na wengi wamepitia wanajua
 
Sio kweli. Sema ukweli ili ujiweke huru. Hakuna mtu kizazi cha zamani ambaye huko shuleni esp.Shule ya Msingi, hakuwahi kuchapwa viboko. Labda awe hakuenda shule aliogopa umande na viboko. Kwani mama; wewe ulipata mtoto kwa njia gani tofauti ambayo ilikuwa na amumivu makali zaidi ya akina mama wengine??? Hata hivyo mtoa adhabu anatumia fimbo ndogo na hatumii nguvu kiasi hicho ambacho wewe unasema/unalalamika eti kana kwamba anachapa ng'ombe. Proffesionaly , Hata ng'ombe hastahili kuchapwa kwa nguvu ujue. Nakushauri umlee mtoto wako kwa Hekima na Weledi wa hali ya juu ili kesho asije akawa ni kichomi kwako halafu Tena akiwa ni Ke ndo usiseme -hakuna rangi utaacha kuona. Je, Baba yako yupo? Kama yupo hebu muulize alivyokukuza au kukulea uone kama hakuwahi kukupa adhabu.
Nimesema kiboko kipo lakini mtoto mdogo kuna namna ya kumtreat. Uchapaji wa kupitiliza huzalisha watoto wakorofi. Kama ulisoma shule za changanyikeni kuna wakati wanafunzi wanabana (hawaingii darasani) kukwepa fimbo za namna hiyo. Sasa kama kila siku ni bakora za mtindo huo unazalisha nini?

By the way maostaz wanapenda kuchapa fimbo za namna hiyo kwa watoto. Hata mimi ni muhanga na nilikua na miaka 7 tu mpaka nikakimbia hiyo dini
 
Kusema ukweli utandawazi umeharibu maadili hivi hapo kina kipi cha ajabu? Kipindi tunasoma sisi mwalimu wetu alikuwa anakuvua kaptura unabaki na chupi ndo anakushushia mvua ya fimbo lakn hakuna kulalamika.
Lakin sasa hiv mnataka mtoto akikosea apetiwe petiwe acheni mambi yenu bwana nyie ndiyo mnasababisha maadili yanaporomoka
Kweli kabisa wakati wetu tumepigwa sana na sasa tuko vizuri siku hizi human right lina wafanyakaz wengi sana mitandaoni
 
Back
Top Bottom