Iyerdoy
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,755
- 1,939
Amefanya kosa gani huyo mtoto? Tukumbuke kuacha au kuepuka kukuza mambo. Hiyo adhabu ni kawaida sana na ni jambo jema kumwadabisha mtoto.
Kumbuka hata Serikali huwaadhibu raia wake pale wanapothibitika pasi na shaka kufanya makosa. Huyo mtoto ni nani hata asiadhibiwe kama kweli ametenda kosa?? Wenzetu wana-kamsemo kao "Spare the rod, spoil the child" Adhabu ya kuchapwa fimbo ilikuwepo tangia zamani na ilikuwa kawaida mtoto Ke huchapwa kwenye mikono(viganja), Me huchapwa kwenye makalio. Wewe mzazi wa kisasa unasema eti ni Ukatili uliopitiliza. Jitafakari.