Kizazi hiki cha wazazi wa kileo bomu tunalopika likija kulipuka hakuna atakayesalimika.
Leo hii mitoto ambayo wazazi wao waliwalea hovyohovyo inavuta bangi, inakaba,inajiuza, inashinda vijiwenu.Jamii haijishughulishi kwa kuwa siku hizi mtoto ni wa mtu sio wa jamii.watu wanasubiri mtoto wako ajae kwenye mfumo wamuwahishe mavumbini.
Hali ni tete vijana wanavuta mibangi, mapusha wanauza bangi waziwazi jamii imebaki ikiangali kwa kuwa jamii imeng'olewa meno.Kesho na keshokutwa takwimu zikitola kila mtanzania anajifanya kushtuka na kustaajabu😄😄😄
Tuendelee kulea ujinga tutastaajabu sanaaaa.