Hiki ni kiwango kilichopitiliza cha Ukatili kwa watoto

Hiki ni kiwango kilichopitiliza cha Ukatili kwa watoto

Aisee 😒, yani mtoto wa miaka mitatu anaweza kupitiliza nini hasa mpaka umlambe mboko?
Mtoto wangu anaadabu zile nazohitaji mimi.Wewe wako anaadabu katika mizani yako tusipangiane maisha.

Mtoto wa miaka hiyo hyio mitatu huko China anafundishwa mambo kedekede ukija huku mavumbini mtoto anakazi ya kuimbishwa nyimbo siku nzima😀😀😀

Kwahiyo ndugu mtanzania maisha ni kupanga nyie endeleeni na akina junia wenu wenye kazi ya kupanda kwenye mapaja ya wageni na kulilia soda za wageni .Sisi ngoja tuendelee na akina Shija wetu wenye adabu na utii kama tuliokulia wazazi wao.
 
Kama ni hivyo basi tunakubaliana kua adhabu ina vipimo vyake, adhabu ya kumpa kijana wa miaka 15 mwenye afya njema huwezi kumpa wa miaka 5.

Na mkuu usiende sana kwenye kosa au maonyo uliyompa, ukifanya hivyo basi ni dhahiri unaweza kuua mwanao. Kumkataza na kurudia kosa hakukupi wewe ruhusa ya kumpiga kama mbwa mwizi.
Na hao walimu si wanafundishwa kuhandle watoto, nini maana ya wao kusomea ualimu na ukumbe hao walimu pia ni wazazi.
Ukisema huwezi hiyo ni relative and subjective.
 
Kama kuchapwa hivi pia ni ukatili basi hakuna mtanzania ambaye hajawahi kufanyiwa ukatili hizo tumepigwa sana tena huyo ostadhi hapigi sana..anawagusa tu.
Dunia imebadilika Joh, usipobadilika nayo litakukuta jambo.

Zamani hata mke akipigwa hana pa kushtaki akashinda, siku hizi hata asipopigwa mkakorofishana tu na akakushtaki dakika zero mamwela wanakunyaka.
 
Tetea hoja kwa hoja humu kuna watu na heshima zao wanapitia comment.Jiheshimu punguza mihemko jenga hoja dini zote tumeletewa.

Hakuna dini bora kuliko nyingine.Ukienda India kuna baadhi ya majimbo itakulazimu uwaheshimu waabudu Ng'ombe na hairuhusiwi kula nyama ya ng'ombe.Tembea ujifunze!!!

📌📌Jaribu kutumia akili kabla ya kutenda.
Kuna sehemu nimetaja dini ya mtu hapo?

Au una kisebusebu na kihoro?
 
Kama kuchapwa hivi pia ni ukatili basi hakuna mtanzania ambaye hajawahi kufanyiwa ukatili hizo tumepigwa sana tena huyo ostadhi hapigi sana..anawagusa tu.
Si kweli, mimi sijawahi kupigwa katika umri huo na kwa kiwango hicho na ni mtanzania.
Swala la kwamba wewe umefanyiwa ukatili, haimaanishi kuwa vizazi vijavyo nao ni lazima wapitie humo humo.

Muhimu kubadilika, yale mambo ya hovyo tuyaache, tuendelee na yanayofaa.
 
Hamna anaepingana na adhabu, kinachopingwa ni ukubwa wa adhabu.

Yaani unataka kutuaminisha kua kipigo kitasaidia kumshape mtoto pasi na maelekezo na mafunzo, vitoto vyenyewe rojorojo hivi utapiga uue kama yule jamaa wa Njombe sijui alieua kisa dogo hajarudisha chenji kamili.

Toa adhabu lakini ilingane na uhimili, usije sababisha maafa zaidi.
Madogo mabao, makwezi na mitama wanakula sana tu ila sio wote utawapa hizo adhabu.
Tunachotakiwa kujua Sisi Waafrika ni kwamba; Wazungu Wametupiga Gap katika Uchumi na Teknolojia na Sisi Tumewapiga Gap katika Misingi ya Familia bora Na Malezi bora.


Wazungu wanataka Kufuta Hilo gap la Familia Bora Na Malezi bora ili na Sisi tuwe pale Walipo wao. Ila Suala la Uchumi na Teknolojia tubaki huku huku Gizani.

Nowdays huko uzunguni mnakochukua Hizo ideologies Huko now Wazazi wanawaogopa Watoto wao.

Mtoto ukimkalipia Tuu,, Sikwambii Kumpiga Bakora,, atapiga Simu Police na Atakulipoti una mu-abuse tena hatokuita Daddy au mom atasema "This one is abusing me" Huku ndiko walipofika Wazungu na wanataka na sisi Tufike huko.

Lazima Mambo yawe kwa kiwango sio Kuyaingia Mambo Mkukumkuku WATOTO WASIFANYIWE UKATILI LAKINI PIA WASILELEWE KAMA VILE NI WATU WENYE AKILI ZA KUJIONGOZA PASI NA KUSUKUMWA KWA NAMNA FURANI..

Mtoto atabaki kuwa Mtoto na Utoto wake,, ukianza kuamini kuwa unaweza kum-treat mtoto kama mtu mzima Jua kuna sehemu katika malezi utafeli.
 
Ili washinde 30,000,000/= pale kwa Nkapa wakishinda sifa zote kwa Hostadh alowafundisha kwa kuwatia mikwaju hio ni moja tu imeenda viral ila ndio kinachoendelea huko Mudrasa
Ningekuwa muislam nisingepeleka mtot
 
Tuweni serious that is textbook proper dissemination of negative reinforcement for disciplinary purposes!
 
Kesi imeshafika polisi na inashuhulikiwa. Nashangazwa na mletaji hii clip hapa anaposema jili limfikie Gwajima. Gwajima imemhusu nini hapa? Ikiwa umeona pametokea udhalilishaji au unaamini ni udhalilishaji ni wajibu wako kuwajulisha polisi na sio Gwajima. Usitafute sababu za kuchochea fitna za udini. Wanaopaswa kujuzwa hapa ni polisi kama chombo halali cha umma ili sheria ifate mkondo na chombo cha kiislamu ambacho ndio wanaosimamia usajili wa vyuo Tanzania bara ili huyu mwalimu asitishwe kusomesha haraka.
 
Tuweni serious that is textbook proper dissemination of negative reinforcement for disciplinary purposes!
Negative reinforcement does not support Physical Injury nor any kind of Abuse.

Angempa hata adhabu ya Kubeba maji ajaze ndoo tano kwa kutumoa kidumu cha lita tano. Hii haina physical pain/ injury
 
Negative reinforcement does not support Physical Injury nor any kind of Abuse.

Angempa hata adhabu ya Kubeba maji ajaze ndoo tano kwa kutumoa kidumu cha lita tano. Hii haina physical pain/ injury
Mwanafunzi anayedoji masomo unampa adhabu inayomfanya akose masomo zaidi?

Injury mkuu kuna injury hapo? Hapo kuna pain tu sio injury. Na pain evokes memories kuliko kubeba vidumu vya lita tano
 
Back
Top Bottom