Yaani dogo wa miaka 10- 11 huwezi kumcontrol, aloo basi acheni kuzaa.
Sasa unazaa vipi wakati kulea huwezi, huwezi kumfanya mwanao akuamini.
Mwalimu wa kwanza wa mtoto ni wewe mzazi. Mzazi ndio wewe unaona mwanao kulambwa mboko 5/6 za moto ni sawa kisa wewe na mwalimu wako mmeshindwa kummudu mtoto wa miaka 11.😂😂
Akifika 20 si mtamuamkia shikamoo.
Bila shaka ungekuwepo hapo, ungekamata mikono yao ticha awanyuke kisawasawa ili kesho wasichelewe tena ilhali ungeweza kuweka alarm na kumkumbusha kesho awahi, ama lah kumwambia rafiki yake anaewahi kesho ampitie na mwanao, ama kumpa ashabu ya kumjenga.
Achana na kutumia hizo baby boomers sijui Gen Z nani aliwadanganya zinawahusu ninyi watz.