Hiyo ni COLATERAL DAMAGE adhabu inatolewa kuinflict pain ili next time akili yako kabla ya kutenda ifikirie uvhungu wa adhabu uliyopata kabla.Ishu sio kutochapwa au kutopewa adhabu, hata huko ulaya unakosema tunaiga hata wao wanatoa adhabu japo sio viboko kama huku kwetu.
Sasa kwenye hizo adhabu angalia na hali ya mwanao sio kila mmoja anazimudu, hapo ukimchana kiganja mtoto utawaambia nini waja wakuelewe, hata kama ulikua unafanya jema kumnyoosha hamna ataekuelewa.
Uliona clip ya yule binti aliekua anamkung'uta mwanae?? Nae alirekodiwa akatiwa lupango, uliona clip ya walimu wa shule ya Mbeya wakimpa kipigo yule dogo mtukutu, nao walipoteza kazi zao.
Sasa kama hujifunzi kwayo, ulimwengu utakupa somo na kukuelekeza ni adhabu gani unapaswa kumpa mwanao na zipi unapaswa kupewa wewe na sio mwanao.
Sasa unapotaka adhabu iwe tamu hapo ndo mnakosea.Nchi kama south Africa hawana adhabu ya kifo kwa mtu aliyeua.Hiyo ni moja ya sababu South mpaka kesho kesi za mauaji zitaendelea kuwa juu juu juuu balaaaa.
Leo hii Tanzania tukibadili sheria ya makosa ya jinai na kufuta vifungo vya maisha au kunyongwa.Tegemea crime rate itapaa juuu juuu balaaaa.
📌📌Kwahiyo mnapotetea mambo jaribuni kushiriksha vizuri bongo zenu.