Hiki ni kiwango kilichopitiliza cha Ukatili kwa watoto

Afu huyo anayemchapa kavaa kobazi.

Mavaa kobazi yana matatizo sana.
Tetea hoja kwa hoja humu kuna watu na heshima zao wanapitia comment.Jiheshimu punguza mihemko jenga hoja dini zote tumeletewa.

Hakuna dini bora kuliko nyingine.Ukienda India kuna baadhi ya majimbo itakulazimu uwaheshimu waabudu Ng'ombe na hairuhusiwi kula nyama ya ng'ombe.Tembea ujifunze!!!

📌📌Jaribu kutumia akili kabla ya kutenda.
 
Sidhani kama dini inataka hivi.

Oneni wenyewe. Aione Dkt. Gwajima D

Hii siyo sawa hata kidogo, kama mzazi nimeangalia nikaumia.

Nyie mnaotetea huu ukatili inawezekana mlipigwa mpaka mkapungukiwa uwezo wa kifikiri, maana huwezi ukaangalia hii clip ukaona hao watoto wadogo hivyo wanastahili kupigwa kwa kiasi hicho.
 
ASANTE KA KULIONA HILI
 
HAPANA Sitetei Dini Nazungumza Uhalisia wa maisha yetu waafrika na malezi yetu kwa ujumla.

Kwa namna ya malezi yetu (both walimu tulionao na Wanafunzi waliopo) adhabu kama hiyo sio Extreme punishment Sababu fimbo tano hadi sita tena za sehemu salama ya mkono sio Adhabu ya kikatili.

Adhabu za kikatili zinafahamika lakini kwa mtoto wa miaka 9 hadi 12 fimbo tano za mkononi kwa Fimbo ya kawaida SIO UKATILI. HII ndio hoja yangu.

Lazima tukubali kuwa adhabu lengo lake sio kumfurahisha Muadhibiwa bali ni kumkanya na Kumuadabisha na katika hatua hiyo lazima kuna maumivu ayapate yule aliyepatiwa adhabu. ili ibaki kumbukumbu katika Akili yake.

Ikiwa ni Extreme punishment hapo sawa. Ila kwa adhabu hiyo katika clip hiyo huwezi sema hiyo ni Extreme punishment.

Hapa wale ambao ni walimu watakuwa wananielewa vizuri.
HAYA YA KUIPGA FIMBO MTOTO YAMEPITWA NA WAKATI, UKATILI MKUBWA HUU!
 
😂😂 mtoto wa miaka mitatu hata yeye anajua zuri na baya.
Anajua siruhusiwi kushika simu ya baba atanichapa/atafoka au hatanipa hiki.

Ila kwa baba dizaidi yako, mwanao wa miaka 3 akiangusha simu yako makusudi au bahati mbaya si ajabu utamlamba mboko kama za shekhe hapo, sio??
Hiyo ndio maana ya adhabu kwa mujibu wako??
Atalambwa mboko ikiwa atapitiliza.Sio kwamba sisi CONSERVATIVES hatuna akili.Tunaakili na tunajua kupima magnetude ta jambo kabla ya kuliendea.

Hata huyo ostazi huwenda ameshawaonya sana mpaka kifikia hapo.Tusi hukumu,ndomaana nikasema waalimu waje watupe mrejesho yale wanayopitia kutoka kwq watoto wa watanzania😀😀😀
 
HAPANA Sitetei Dini Nazungumza Uhalisia wa maisha yetu waafrika na malezi yetu kwa ujumla.

Kwa namna ya malezi yetu (both walimu tulionao na Wanafunzi waliopo) adhabu kama hiyo sio Extreme punishment Sababu fimbo tano hadi sita tena za sehemu salama ya mkono sio Adhabu ya kikatili.

Adhabu za kikatili zinafahamika lakini kwa mtoto wa miaka 9 hadi 12 fimbo tano za mkononi kwa Fimbo ya kawaida SIO UKATILI. HII ndio hoja yangu.

Lazima tukubali kuwa adhabu lengo lake sio kumfurahisha Muadhibiwa bali ni kumkanya na Kumuadabisha na katika hatua hiyo lazima kuna maumivu ayapate yule aliyepatiwa adhabu. ili ibaki kumbukumbu katika Akili yake.

Ikiwa ni Extreme punishment hapo sawa. Ila kwa adhabu hiyo katika clip hiyo huwezi sema hiyo ni Extreme punishment.

Hapa wale ambao ni walimu watakuwa wananielewa vizuri.
WALIMU KATILI WATAKUELEWA
 
Hii siyo sawa hata kidogo, kama mzazi nimeangalia nikaumia.

Nyie mnaotetea huu ukatili inawezekana mlipigwa mpaka mkapungukiwa uwezo wa kifikiri, maana huwezi ukaangalia hii clip ukaona hao watoto wadogo hivyo wanastahili kupigwa kwa kiasi hicho.
Kuumia kwako ni swala la kihisia ila wewe mara ngapi umemfumua mtoto wako kisawasawa tuambizane ukweli.
 
Kama akili yake ya kuwafanya wawahi imefika mwisho basi bakora mbili ziliwatosha.
Na hiyo nguvu za kuoigia mwizi azipeleke mahala pengine na kama umeisikiliza hiyo clip hao mabwana wanasema hiyo cha mtoto huwa anamalizia hasira zake kwa watoto.
Mkuu nahisi hujawahi kukaa na Watoto katika kuwalea na kuwafundisha ndio maana ni Rahisi wewe kuongea haya.

Tukitaka kuwalea watoto wetu kizungu tuwalee tuu.... ila Ndio tukubali kile tutakachokuja Kukivuna huko mbeleni.

Huko ulaya now kuna vituo vya kubadili tabia sijui vituo vya watoto walioshindikana yote hayo kwa Sababu ya kufanya mambo bila kiwango(too much rights),,,

watoto wasiteswe lakini pia wasidekezwe lazima wakikosea waadabishwe. Kwenye kuadabishwa kuna Maumivu.
 
Atalambwa mboko ikiwa atapitiliza.Sio kwamba sisi CONSERVATIVES hatuna akili.Tunaakili na tunajua kupima magnetude ta jambo kabla ya kuliendea.

Hata huyo ostazi huwenda ameshawaonya sana mpaka kifikia hapo.Tusi hukumu,ndomaana nikasema waalimu waje watupe mrejesho yale wanayopitia kutoka kwq watoto wa watanzania😀😀😀
Aisee 😒, yani mtoto wa miaka mitatu anaweza kupitiliza nini hasa mpaka umlambe mboko?
 
Kuumia kwako ni swala la kihisia ila wewe mara ngapi umemfumua mtoto wako kisawasawa tuambizane ukweli.
Sipigi mtoto na watoto wangu wote ni vijana wakubwa sasa na ni bora kuliko namna yoyote ambayo ningeweza kutarajia (kielimu, kitabia na hofu ya Mungu)

Ukatili siyo namna pelee ya malezi, badilikeni!
 
HAPANA Sitetei Dini Nazungumza Uhalisia wa maisha yetu waafrika na malezi yetu kwa ujumla.

Kwa namna ya malezi yetu (both walimu tulionao na Wanafunzi waliopo) adhabu kama hiyo sio Extreme punishment Sababu fimbo tano hadi sita tena za sehemu salama ya mkono sio Adhabu ya kikatili.

Adhabu za kikatili zinafahamika lakini kwa mtoto wa miaka 9 hadi 12 fimbo tano za mkononi kwa Fimbo ya kawaida SIO UKATILI. HII ndio hoja yangu.

Lazima tukubali kuwa adhabu lengo lake sio kumfurahisha Muadhibiwa bali ni kumkanya na Kumuadabisha na katika hatua hiyo lazima kuna maumivu ayapate yule aliyepatiwa adhabu. ili ibaki kumbukumbu katika Akili yake.

Ikiwa ni Extreme punishment hapo sawa. Ila kwa adhabu hiyo katika clip hiyo huwezi sema hiyo ni Extreme punishment.

Hapa wale ambao ni walimu watakuwa wananielewa vizuri.
Kizazi hiki cha wazazi wa kileo bomu tunalopika likija kulipuka hakuna atakayesalimika.

Leo hii mitoto ambayo wazazi wao waliwalea hovyohovyo inavuta bangi, inakaba,inajiuza, inashinda vijiwenu.Jamii haijishughulishi kwa kuwa siku hizi mtoto ni wa mtu sio wa jamii.watu wanasubiri mtoto wako ajae kwenye mfumo wamuwahishe mavumbini.

Hali ni tete vijana wanavuta mibangi, mapusha wanauza bangi waziwazi jamii imebaki ikiangali kwa kuwa jamii imeng'olewa meno.Kesho na keshokutwa takwimu zikitola kila mtanzania anajifanya kushtuka na kustaajabu😄😄😄

Tuendelee kulea ujinga tutastaajabu sanaaaa.
 
Sipigi mtoto na watoto wangu wote ni vijana wakubwa sasa na ni bora kuliko namna yoyote ambayo ningeweza kutarajia (kielimu, kitabia na hofu ya Mungu)

Ukatili siyo namna pelee ya malezi, badilikeni!
Ni vile tupo behind keyboard ila kwa aina hiyo ya malezi ya kimayaimayai mtoto kuja kuweza kujisimamia ni wachache sana.

Wengi huaribikiwa na maisha.Tuache kudanganyana humu.
 
Mkuu nahisi hujawahi kukaa na Watoto katika kuwalea na kuwafundisha ndio maana ni Rahisi wewe kuongea haya.

Tukitaka kuwalea watoto wetu kizungu tuwalee tuu.... ila Ndio tukubali kile tutakachokuja Kukivuna huko mbeleni.

Huko ulaya now kuna vituo vya kubali tabia sijui vituo vya watoto walishindikana yote hayo kwa Sababu ya kufanya mambo bila kiwango(too much rights),,,

watoto wasiteswe lakini pia wasidekezwe lazima wakikosea waadabishwe. Kwenye kuadabishwa kuna Maumivu.
Hamna anaepingana na adhabu, kinachopingwa ni ukubwa wa adhabu.

Yaani unataka kutuaminisha kua kipigo kitasaidia kumshape mtoto pasi na maelekezo na mafunzo, vitoto vyenyewe rojorojo hivi utapiga uue kama yule jamaa wa Njombe sijui alieua kisa dogo hajarudisha chenji kamili.

Toa adhabu lakini ilingane na uhimili, usije sababisha maafa zaidi.
Madogo mabao, makwezi na mitama wanakula sana tu ila sio wote utawapa hizo adhabu.
 
Nilidhani ni MRUMI pekee ndiye anafundisha watoa kiingilio cha kanisani wapya (watoa sadaka) kwa kutumia viboko kumbe hata Wafuasi wa Mud nao wanatumia kiboko!
Walivyo wahuni wana walawiti pia.
Hizi imani ni utapeli,tuweni makini.
Kwanini usitoe hoja yako bila kashfa.Hakuna sehemu viongozi wa dini hawana kashfa.

Kanisa katoliki linakashfa ngapi za kulawiti watoto.Hizi dini zisiwafanye mkawa mnashindwa kufikiri vyema.

Hata kama unawachukia watu flani ebu jaribu kuficha hisia zako
.
 
Hamna anaepingana na adhabu, kinachopingwa ni ukubwa wa adhabu.

Yaani unataka kutuaminisha kua kipigo kitasaidia kumshape mtoto pasi na maelekezo na mafunzo, vitoto vyenyewe rojorojo hivi utapiga uue kama yule jamaa wa Njombe sijui alieua kisa dogo hajarudisha chenji kamili.

Toa adhabu lakini ilingane na uhimili, usije sababisha maafa zaidi.
Madogo mabao, makwezi na mitama wanakula sana tu ila sio wote utawapa hizo adhabu.
Wewe weka vipimo vya adhabu.

Aina ya Silaha ya kutolea adhabu.

Acha siasa bwana mkubwa.Unaongea vitu ingeneral sana ebu dadavua vizuri.Maana kimsingi ostadhi yeye kwa makadirio yake ameona hiyo adhabu ndo stahiki kwa mizani yake.

Wewe ni kwa vipi unatuaminisha mizani yako ni sahihi na ya ostadhi sio??.
 
Atalambwa mboko ikiwa atapitiliza.Sio kwamba sisi CONSERVATIVES hatuna akili.Tunaakili na tunajua kupima magnetude ta jambo kabla ya kuliendea.

Hata huyo ostazi huwenda ameshawaonya sana mpaka kifikia hapo.Tusi hukumu,ndomaana nikasema waalimu waje watupe mrejesho yale wanayopitia kutoka kwq watoto wa watanzania😀😀😀
Kama ni hivyo basi tunakubaliana kua adhabu ina vipimo vyake, adhabu ya kumpa kijana wa miaka 15 mwenye afya njema huwezi kumpa wa miaka 5.

Na mkuu usiende sana kwenye kosa au maonyo uliyompa, ukifanya hivyo basi ni dhahiri unaweza kuua mwanao. Kumkataza na kurudia kosa hakukupi wewe ruhusa ya kumpiga kama mbwa mwizi.
Na hao walimu si wanafundishwa kuhandle watoto, nini maana ya wao kusomea ualimu na ukumbe hao walimu pia ni wazazi.
 
Wewe weka vipimo vya adhabu.

Aina ya Silaha ya kutolea adhabu.

Acha siasa bwqna mkubwa.Unaongea vitu ingeneral sana ebu dadavua vizuri.Maana kimsingi ostadhi yeye kwa makadirio yake ameona hiyo adhabu ndo stahiki kwa mizani yake.

Wewe ni kwa vipi unatuaminisha mizani yako ni sahihi na ya ostadhi sio??.
Nimekupa mfano wa mtoto wa miaka mitatu na wewe ukajibu nini??
Hilo ndio jibu lake.
 
Back
Top Bottom