Mapaka sasa umekatwa miaka mingapi? Emu tuanzie hapo alafu tuone namna ya kukusaidianimekopa AbC bank shilingi milioni 14 nikatwe kwa miaka nane sawa na miezi 96, nakatwa shilingi laki nne na elfu 14 kwa mwezi.
Duuuh 47%????Kwanini usingeenda NMB au CRDB?
Bayport walinifata ofisini ili wanikopeshe nilipowauliza riba ni asilimia wakaanza chenga chenga braah braah kibao,nikambananisha mmoja wao akaniambia riba ni 47% nikawafukuza ofisini.
Afutatu hivi huoni analia famasihara nini?Sasa hapo kwa mwezi utakuwa unachukua ngapi mkuu?😁
Sidhani Kama Inahitaji kwenda Hadi chuo ili mtu ajue ulazima wa kuuliza kiwango Cha kulipa baada ya kukopaWaalimu kabla ya kukopa uliza riba ni asilimia ngapi? Kama huwezi kujua hilo ,waambie rejesho kwa mwezi litakuwa kiasi gani uzidishe kwa idadi ya miezi uliyekopa halafu jumla yake utoe kwenye mkopo waliokupitishia.Mara nyingi huwa Wana take advantage ya umbumbumbu wa waalimu kwenye elimu ya fedha kwani wao huuluza tuu watapata kiasi gani na kwa muda gani tuu, suala la riba, garama za mkopo kama loan processing fee , bima nk hawajui, na ukiuliza riba kichwa kichwa badala ya kukuambia riba kwa mwaka , anaigawanya kwa 12 anakuambia riba ya mwezi wewe ukiona digit ni ndogo inaingia mkenge
Nyoko nini [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dah waalimu [emoji22][emoji22]
Nimechoka this is stupidityongea na Mpwayungu Village akupe darasa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kusikia Kwa Kenge Mpaka Atoke Damu Puani Na Masikioni
Maji Ya Kifuu Ni Bahari Kwa Chungu
Huwa wanatutukanaSafi sana tukiwaambia walimu ni wapumbavu na akili hawana na kuelewa vitu hawaelewi hii ndiyo yenyewe,
Mkuu nazitaka odds 3.niweke 10k kila sikuNjoo nikupe odds 3 kila siku ulipe deni kwa miezi minne
Hata hamsini haifiki [emoji23][emoji23][emoji23]Sasa hapo kwa mwezi utakuwa unachukua ngapi mkuu?[emoji16]
Anaitwa ushimen [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nyie ndio mnao sababisha kazi ya ualimu inadharaulika sana, hata watoto wa skuizi hawataki kusikia kazi ya ualimu bora waka bebe zege.
Ebu kwanza weka mkataba wako hapa...[emoji2955]