Hiki ni nini? Naombeni ushauri nachanganyikiwa. Nimekopa Milioni 14 natakiwa kurudisha Milioni 39

Huko ni udhurumati!
 
Daah hapa jiandae na tafuta watu wakufundishe kubet tu........uliposikia hela zitaingia kesho ukaona Yes dili hili hapa na ukasaini bila kusoma vigezo na masharti.Hapo pambana tu mkuu kwasababu ulisaini mwenyewe ukiwa na akili timamu,yaani miezi 96 ni miaka nane.....angalau mpaka 2032 ndiyo utaanza kupata mshahara wako halisi
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
😳 umesign mkopo kama wale waliosign ile kontrakti ya dipi weldi
 
Hapa mwalimu umefeli, umeingiza njaa kichwani baada ya kuiacha tumboni.


Umaskini wa walimu unafanya taasisi za fedha/mikopo zitumie hiyo fursa kukukandamiza

Inatakiwa mtu asiingie kichwa kichwa kuchukua hii mikopo, inatakiwa mtu ajipe muda wa kutosha kuchunguza
 
Rweyamamu aisee anapiga njeree hatari,toka ametoka nyumba nyeupe
 
Kwa mfano ukitaka kurudisha leo wanakukata bei gan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…