Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko ni udhurumati!Nimevumilia ila nimechoka acha niwaambie, ndugu walimu nimekopa AbC bank shilingi milioni 14 nikatwe kwa miaka nane sawa na miezi 96, nakatwa shilingi laki nne na elfu 14 kwa mwezi.
Nimeshangaa kukuta kwenye salary slip deni ni milioni 39😥😥😥, nimelia sana yaani nakopa 14M narudisha 39?
Mimi kwakua nilikua nina dharula ya haraka sana nilienda ABC maana niliabiwa kule hauzunguki sana na nilipofika niliongea nao tu mda ule ule nikajaza fomu nikaondokq mkopo ukaingia kesho yake, najuta sikupata mda wa wenda kusoma makubaliano na wala hawakunipa nakala yoyote!
Hii sio haki serikali iko wapi jamani?
Nifanyeje naombeni ushauri wenu
View attachment 2744878
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Daah hapa jiandae na tafuta watu wakufundishe kubet tu........uliposikia hela zitaingia kesho ukaona Yes dili hili hapa na ukasaini bila kusoma vigezo na masharti.Hapo pambana tu mkuu kwasababu ulisaini mwenyewe ukiwa na akili timamu,yaani miezi 96 ni miaka nane.....angalau mpaka 2032 ndiyo utaanza kupata mshahara wako halisi
😳 umesign mkopo kama wale waliosign ile kontrakti ya dipi weldiNimevumilia ila nimechoka acha niwaambie, ndugu walimu nimekopa AbC bank shilingi milioni 14 nikatwe kwa miaka nane sawa na miezi 96, nakatwa shilingi laki nne na elfu 14 kwa mwezi.
Nimeshangaa kukuta kwenye salary slip deni ni milioni 39😥😥😥, nimelia sana yaani nakopa 14M narudisha 39?
Mimi kwakua nilikua nina dharula ya haraka sana nilienda ABC maana niliabiwa kule hauzunguki sana na nilipofika niliongea nao tu mda ule ule nikajaza fomu nikaondokq mkopo ukaingia kesho yake, najuta sikupata mda wa wenda kusoma makubaliano na wala hawakunipa nakala yoyote!
Hii sio haki serikali iko wapi jamani?
Nifanyeje naombeni ushauri wenu
View attachment 2744878
Hapa mwalimu umefeli, umeingiza njaa kichwani baada ya kuiacha tumboni.Nimevumilia ila nimechoka acha niwaambie, ndugu walimu nimekopa AbC bank shilingi milioni 14 nikatwe kwa miaka nane sawa na miezi 96, nakatwa shilingi laki nne na elfu 14 kwa mwezi.
Nimeshangaa kukuta kwenye salary slip deni ni milioni 39😥😥😥, nimelia sana yaani nakopa 14M narudisha 39?
Mimi kwakua nilikua nina dharula ya haraka sana nilienda ABC maana niliabiwa kule hauzunguki sana na nilipofika niliongea nao tu mda ule ule nikajaza fomu nikaondokq mkopo ukaingia kesho yake, najuta sikupata mda wa wenda kusoma makubaliano na wala hawakunipa nakala yoyote!
Hii sio haki serikali iko wapi jamani?
Nifanyeje naombeni ushauri wenu
View attachment 2744878
Kwa muda ganiNakumbuka nilikopa crdb 16M na nikatakiwa kurejesha 24M. Nashukuru deni liliisha
Bado hata kihesabu sio sahihi. Deni halitakiwi kujumuishwa na riba kwa sababu anaweza kuamua kulipa fedha zote kesho au kuuza mkopo.
Naam mkuu, nineitika...😊Anaitwa ushimen [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu nazitaka odds 3.niweke 10k kila siku
Rweyamamu aisee anapiga njeree hatari,toka ametoka nyumba nyeupeNakubaliana na wewe hayo majamaa yanaitwa PLATNUM CREDIT ni matapeli haswa. Yana kauli ya kuvutia wateja ukiingia kwenye 18 zao utajua hujui. Nawaombeni ndugu zangu msije mkaingia kwenye mkenge wa kukopa haya matapeli.
Mfano yanakwambia hv gari lako mkopo wako. Yatakusainisha mkataba wa maajabu. Ukipitisha rejesho la mwezi kidogo wanakuja kukukamatia gari popote hata kanisani hayajali. Baada ya wiki yanatangaza kwenye magazeti gari inauzwa kwa mnada
Wapumbavu sana hao matapeli
Kwa mfano ukitaka kurudisha leo wanakukata bei ganNimevumilia ila nimechoka acha niwaambie, ndugu walimu nimekopa AbC bank shilingi milioni 14 nikatwe kwa miaka nane sawa na miezi 96, nakatwa shilingi laki nne na elfu 14 kwa mwezi.