Hiki ni nini? Naombeni ushauri nachanganyikiwa. Nimekopa Milioni 14 natakiwa kurudisha Milioni 39

Hiki ni nini? Naombeni ushauri nachanganyikiwa. Nimekopa Milioni 14 natakiwa kurudisha Milioni 39

Nimevumilia ila nimechoka acha niwaambie, ndugu walimu nimekopa AbC bank shilingi milioni 14 nikatwe kwa miaka nane sawa na miezi 96, nakatwa shilingi laki nne na elfu 14 kwa mwezi.

Nimeshangaa kukuta kwenye salary slip deni ni milioni 39😥😥😥, nimelia sana yaani nakopa 14M narudisha 39?
Mimi kwakua nilikua nina dharula ya haraka sana nilienda ABC maana niliabiwa kule hauzunguki sana na nilipofika niliongea nao tu mda ule ule nikajaza fomu nikaondokq mkopo ukaingia kesho yake, najuta sikupata mda wa wenda kusoma makubaliano na wala hawakunipa nakala yoyote!

Hii sio haki serikali iko wapi jamani?

Nifanyeje naombeni ushauri wenu
View attachment 2744997
Wewe jamaa nachelea kusema hazikutoshi! Uliona wapi mtu au taasisi ikupe hela kiasi hicho cha millioni 14 ukae nacho kwa muda wa miaka 8? Alafu mimi nisubili miaka hiyo 8 ndo unirejeshee bila faida? Unajua million 14 baada ya miaka 8 uwezo wake wa kununua (purchasing power) unaweza kuwa sawa na kununua godoro la laki mbili? Bank wako sahihi! Sasa cha kufanya hiyo hela toa million 4 kanunue kiwanja. Alafu baada ya miaka hiyo 8 thaminisha hicho kiwanja ndo utajua Bank walikuwa sahihi! Tatizo la watanzania ni kulalamika bila kujua ulimwengu wa biashara unaendaje! Dunia hii inaendeshwa kibiashara!
 
Kila bank ina fees zake lakini ni around 5%-10% ya principal amount iliyobaki. Hata hivyo kama una settle from your cash unaweza kusettle for free ukiongea nao.
Mimi nilitaka kulipa deni/kuhamisha nilipoenda kudai Outstanding loan kwenye tawi nililokopa na siku hiyo hiyo nikaenda kudai outstanding HQ nikaona tofauti laki 2. Nikajua maafisa mikopo janja sana hasa videmu vijizi sana
 
Kwa kifupi kewa reducing balance riba inatafutwa kulingana na kias cha mkopo uliobaki, tofauti na flat interest ambayo ni kinyume chake !! Pia zipo Calculators kibao online ambazo unaweza kuzitumia kujua mtiririko wa marejesho.
Ni kila reduxing balamce ya kila mwezi au ya Mwaka
 
Hajaelewa hilo bado.

Muulize mtu akimkopa sasa hivi 14,000, akamwambia atamrudishia 50,000 mwaka 2030. Mwenye hasara hapo ni nani?
Mwenye hasara ni aliyekukopesha! Wewe uliyekopa unafaida! Huyu jamaa anashindwa kujua ulimwengu wa biashara! Mimi nakupa milioni 14 leo! Najuaje kesho utaweza kunirudishia? Ndo maana wengine wanafanya marejesho ya kwanza kuwa makubwa na yanapungua jinsi unavyo endelea kurejesha!
 
Nimevumilia ila nimechoka acha niwaambie, ndugu walimu nimekopa AbC bank shilingi milioni 14 nikatwe kwa miaka nane sawa na miezi 96, nakatwa shilingi laki nne na elfu 14 kwa mwezi.

Nimeshangaa kukuta kwenye salary slip deni ni milioni 39😥😥😥, nimelia sana yaani nakopa 14M narudisha 39?
Mimi kwakua nilikua nina dharula ya haraka sana nilienda ABC maana niliabiwa kule hauzunguki sana na nilipofika niliongea nao tu mda ule ule nikajaza fomu nikaondokq mkopo ukaingia kesho yake, najuta sikupata mda wa wenda kusoma makubaliano na wala hawakunipa nakala yoyote!

Hii sio haki serikali iko wapi jamani?

Nifanyeje naombeni ushauri wenu
View attachment 2744997
Mkuu unajua interest rate yako (riba)?

Ulipiga hesabu za kuzidisha unacholipa kwa mwezi na miezi hiyo 96 na kuona jumla utalipa kiasi gani?
 
Mimi nilitaka kulipa deni/kuhamisha nilipoenda kudai Outstanding loan kwenye tawi nililokopa na siku hiyo hiyo nikaenda kudai outstanding HQ nikaona tofauti laki 2. Nikajua maafisa mikopo janja sana hasa videmu vijizi sana
Ungeuliza tu tofauti inasababishwa na nini. Ndio maana ukiwa unaomba confirmation ya balance wanakupa kwa barua so mimi ningekuwa wewe nachukua barua inavyoonesha lesser amount naendelea na utaratibu.
 
Dharula ya haraka sana kama mleta mada anavyodai ni ugonjwa, kuoa, kufiwa/mazishi (fullstop). Haya ndo matatizo ya kiswahili hayaishi! Ujiingize kwenye kongwa la miaka 8 kisa dharula! Ungesema nimechoka kupanga na kulipa kodi nataka niamie kwangu ningekuona wa maana!
 
Nimevumilia ila nimechoka acha niwaambie, ndugu walimu nimekopa AbC bank shilingi milioni 14 nikatwe kwa miaka nane sawa na miezi 96, nakatwa shilingi laki nne na elfu 14 kwa mwezi.

Nimeshangaa kukuta kwenye salary slip deni ni milioni 39😥😥😥, nimelia sana yaani nakopa 14M narudisha 39?
Mimi kwakua nilikua nina dharula ya haraka sana nilienda ABC maana niliabiwa kule hauzunguki sana na nilipofika niliongea nao tu mda ule ule nikajaza fomu nikaondokq mkopo ukaingia kesho yake, najuta sikupata mda wa wenda kusoma makubaliano na wala hawakunipa nakala yoyote!

Hii sio haki serikali iko wapi jamani?

Nifanyeje naombeni ushauri wenu
View attachment 2744997
Unavuna ulichokipanda,hakuna wa kumlaumu.
Hukuwa serious kwenye sensitive issue....ndiyo madhara yake hayo.
 
Hesabu mbona ziko sawatu wesema hukuelewa makubaliano.

Hicho kiasi unacho katwa zidisha mara miezi hiyo utaona hujaibiwa
 
Sitakuja KUKOPA.

Nimeishi kwa misingi ya kuogopa Deni tangia mdogo. Sidaiwi na Binadamu yoyote, ujinga wa kukopa ni kurudisha fedha nyingi na stress juu.

Why uishi kwa MASHAKA?

Sitakopa Kamwe.
 
Back
Top Bottom