Hiki ni nini? Naombeni ushauri nachanganyikiwa. Nimekopa Milioni 14 natakiwa kurudisha Milioni 39

Utakuta kijana kabla ya kuajiriwa huenda amekaa miaka zaidi ya mitatu bila ajira rasmi. Lakini anafanya kazi ndogondogo na anajitegemea kwa kipato cha 200,000/ kwa mwezi. Mepanga chumba 50,000/=, hizo 150,000/= anajibana nazo na maisha yanaendelea! Akipata ajira, kama ni graduate anapata 765,000/= basic salary lakini net pay kama ana mkopo loan board haiwezi kupungua 450,000/=. Nakubali hizi ni pesa ndogo sana, lakini kama akiamua kuishi maisha aliyoyazoea kimkakati, anaweza kabisa aka-save hizo 250,000/= kwa mwezi kwa kipindi cha miaka 5!! Pesa za kujikimu za siku 7 akizipata zitamsaidia kununua baadhi ya vitu muhimu na nguo za lazima. Baada ya hiyo miaka mitano hatakaa ahangaike na mikopo, ila inataka NIDHAMU YA HALI YA JUU!!

Lakini utakuta kijana akipata ajira anaona ameukata!! akiona vijana wenzake wanaendesha magari na yeye anataka!! Lakini kama angeamua kujizuia kwa muda hiyo gari angekuja kuipata tu bila gharama ya riba!! Lakini kama ukisema sh 450,000/= hazitoshi, hata utakapopata 1,000,000/= hazitatosha, maana wakati huo matumizi yataongezeka, hata utakapopata 2,000,000/= hazitatoisha!! Ukishindwa ku-save mwanzo wa ajira, huta-save daima!! Kujiwekea akiba ni tabia iliyojengwa ikibidi hata kwa maumivu makubwa!!
 
Kwanza deni lake kama hakuna adhabu na malimbikizo linatakiwa kusoma 14m tu.

Sasa kwa nini aliuze CRDB? Kwa kuuza deni lake CRDB anapata faida ya kuchajiwa riba ndogo zaidi ya asilimia 13 kwa mwaka. Effect ya riba pekee inatosha kushusha mzigo wa marejesho kwa takribani nusu ya gharama ambazo ABC watataka alipe.

Kwa kiasi cha 414,166 anayokatwa kwa mwezi kwa riba ya CRDB angetumia miaka 3 na miezi 7 kuclear deni na jumla ya marejesho na riba angelipa 17.6m pekee.

Kukopa ni hesabu, usikope bila kupiga hesabu vizuri
Wakiandika 14 mill kwenye slip wakikata ikafikia hapo inakuwa basi hawaruhusiwi kukata tena sas baenki si watapata hasara? Hat deni la bodi mbona walikuwa wanaandika hivyo? Unachozungumza sio practical kabisa kwenye field.
 
Unalinganisha mambo yasiyoingiliana. Jiulize swali dogo; wakati loans board bado wanacharge riba deni lako lilikuwa linaandikwaje? Au hujui kuwa kuna muda deni lilikuwa linaongezeka hata kama unaliservice?

Pia inaonekana huelewi kuwa kuservice mkopo sio lazima uuservice kwa mshahara pekee unaweza kuuservice kwa amount ya ziada nje ya mshahara, so hiyo amount itareflect vipi kwenye salary slip?
 
Riba inaangamiza na muumba kaikataza kabisa kwani riba inaua na kuwanyonya wanyonge
Achana na ma's.ala ya riba.
 
Unalinganisha mambo yasiyoingiliana. Jiulize swali dogo; wakati loans board bado wanacharge riba deni lako lilikuwa linaandikwaje? Au hujui kuwa kuna muda deni lilikuwa linaongezeka hata kama unaliservice?

Pia inaonekana huelewi kuwa kuservice mkopo sio lazima uuservice kwa mshahara pekee unaweza kuuservice kwa amount ya ziada nje ya mshahara, so hiyo amount itareflect vipi kwenye salary slip?
Kwa uzoefu wangu Mimi deni huwa linapungua. Unaweza taja benki gani wakikukopesha wanaandika hiyo mfano mill 14? Navyodhani Mimi hata ukilipa nje ya mshahara lazima uombe wakupe balance ili ukilipa wadeduct.
 
Mkuu, hebu wacheki sportpesa , au betpawa unaweza kushinda zaidi ya milioni 250.
😳😳😳
Unasema kama utani lakini vijana wengi ndo wako huko kwenye betting!! Kila siku utakuta mtu anatumia si chin ya 1000/=. Kwa mwezi ni sh 30,000/=. Kwa mwaka ni 360,000/= na kwa miaka 10 ni 3,600,000/=! Hicho ni9 kiwango cha chini, kwa wengi si chini ya mara mbili ya hicho yaani 7,200,000/=. Kuna watu walianza betting wakiwa wanafunzi na sasa ni watu wazima na wamekuwa kwenye mchezo huo kwa zaidi ya miaka10!! Lakini watakuambia hawafanyi biashara kwa kuwa hawana mtaji!! Angekuwa na nidhamu ya kutunza sh 1000/= tu kwa siku leo angekuwa na mtaji wa kufanya biashara kwa mtaji usiopungua 5M!! Anayefanya betting lazima awe na bundle!! Lakini vijana watakuambia ni vigumu sana kujiajiri na mchawi ni mtaji!! Lakini mchawi wa ukweli ni kukiosa nidhamu ya kusave pesa kwa malengo hata kama ni kidogo kidogo!!
 
Kawaambie
Nimevumilia ila nimechoka acha niwaambie, ndugu walimu nimekopa AbC bank shilingi milioni 14 nikatwe kwa miaka nane sawa na miezi 96, nakatwa shilingi laki nne na elfu 14 kwa mwezi.

Nimeshangaa kukuta kwenye salary slip deni ni milioni 39😥😥😥, nimelia sana yaani nakopa 14M narudisha 39?
Mimi kwakua nilikua nina dharula ya haraka sana nilienda ABC maana niliabiwa kule hauzunguki sana na nilipofika niliongea nao tu mda ule ule nikajaza fomu nikaondokq mkopo ukaingia kesho yake, najuta sikupata mda wa wenda kusoma makubaliano na wala hawakunipa nakala yoyote!

Hii sio haki serikali iko wapi jamani?

Nifanyeje naombeni ushauri wenu
View attachment 2744997
Wafuate, waambie umepata cash unataka uwalipe, wakupe Barua ya Deni lao halisi pasipo riba ya miezi ya mbele.

Chukuo hiyo barua na salary slip yako, peleka Bank yoyote uwauzie hilo Deni.

ITAKUPUNGUZIA MAUMIVU KIDOGO.
 
Nimevumilia ila nimechoka acha niwaambie, ndugu walimu nimekopa AbC bank shilingi milioni 14 nikatwe kwa miaka nane sawa na miezi 96, nakatwa shilingi laki nne na elfu 14 kwa mwezi.

Nimeshangaa kukuta kwenye salary slip deni ni milioni 39😥😥😥, nimelia sana yaani nakopa 14M narudisha 39?
Mimi kwakua nilikua nina dharula ya haraka sana nilienda ABC maana niliabiwa kule hauzunguki sana na nilipofika niliongea nao tu mda ule ule nikajaza fomu nikaondokq mkopo ukaingia kesho yake, najuta sikupata mda wa wenda kusoma makubaliano na wala hawakunipa nakala yoyote!

Hii sio haki serikali iko wapi jamani?

Nifanyeje naombeni ushauri wenu
View attachment 2744997
Kuna bank zinazojiendesha bila riba.

Yasingekukuta hayo.

Tatizo mmelazimishwa muogope kila mkisikia uislam.

Ktk huduma inayofahamika kama murahaba mnaweza kukubaliana na bank wananunua huduma kule unaokoenda kupeleka pesa.
Kwa kukuuliza kwa malipo kidogo kidogo na kwa bei juu kidogo.

Haiwezi kabisa kufikia ongezeko kama hilo
 
CRDB miaka 7
Screenshot_20230910-212720_Chrome.jpg
 
Nimevumilia ila nimechoka acha niwaambie, ndugu walimu nimekopa AbC bank shilingi milioni 14 nikatwe kwa miaka nane sawa na miezi 96, nakatwa shilingi laki nne na elfu 14 kwa mwezi.

Nimeshangaa kukuta kwenye salary slip deni ni milioni 39😥😥😥, nimelia sana yaani nakopa 14M narudisha 39?
Mimi kwakua nilikua nina dharula ya haraka sana nilienda ABC maana niliabiwa kule hauzunguki sana na nilipofika niliongea nao tu mda ule ule nikajaza fomu nikaondokq mkopo ukaingia kesho yake, najuta sikupata mda wa wenda kusoma makubaliano na wala hawakunipa nakala yoyote!

Hii sio haki serikali iko wapi jamani?

Nifanyeje naombeni ushauri wenu
View attachment 2744997
Pole sana. Hapo Riba inaonekana ni 15%. Wakopeshaji wote uangali future value of money. Yaani hiyo 4M iliangaliwa kwa miaka tisa mbele itakuwa na thamani gani kama kila mwaka itaongezeka kwa 15%. Miaka inavyokuwa mingi ndivyo maumivyo nayo huwa makubwa.
Simple mathematics ni
Kiasi cha mkopo x (1+%)^ hiyo ^ ni kipeuo (Power) ya muda wa mkopo. Kifaa ninachutumia keypad yake haina functions nyingi.
Hapo mbaya siyo hiyo Bank uliyokopa bali ni muda wa mkopo.
Next time kumbuka hiyo fumula itakusaidia kufanya tathimini kabla ya kukopa
 
Utakuta kijana kabla ya kuajiriwa huenda amekaa miaka zaidi ya mitatu bila ajira rasmi. Lakini anafanya kazi ndogondogo na anajitegemea kwa kipato cha 200,000/ kwa mwezi. Mepanga chumba 50,000/=, hizo 150,000/= anajibana nazo na maisha yanaendelea! Akipata ajira, kama ni graduate anapata 765,000/= basic salary lakini net pay kama ana mkopo loan board haiwezi kupungua 450,000/=. Nakubali hizi ni pesa ndogo sana, lakini kama akiamua kuishi maisha aliyoyazoea kimkakati, anaweza kabisa aka-save hizo 250,000/= kwa mwezi kwa kipindi cha miaka 5!! Pesa za kujikimu za siku 7 akizipata zitamsaidia kununua baadhi ya vitu muhimu na nguo za lazima. Baada ya hiyo miaka mitano hatakaa ahangaike na mikopo, ila inataka NIDHAMU YA HALI YA JUU!!

Lakini utakuta kijana akipata ajira anaona ameukata!! akiona vijana wenzake wanaendesha magari na yeye anataka!! Lakini kama angeamua kujizuia kwa muda hiyo gari angekuja kuipata tu bila gharama ya riba!! Lakini kama ukisema sh 450,000/= hazitoshi, hata utakapopata 1,000,000/= hazitatosha, maana wakati huo matumizi yataongezeka, hata utakapopata 2,000,000/= hazitatoisha!! Ukishindwa ku-save mwanzo wa ajira, huta-save daima!! Kujiwekea akiba ni tabia iliyojengwa ikibidi hata kwa maumivu makubwa!!
250000*12*5=15 mls.
Hata si nyingi bado. Kukopa palepale
 
Back
Top Bottom