cleokippo
JF-Expert Member
- Dec 21, 2014
- 2,118
- 1,797
Una level gan ya elim?Nimevumilia ila nimechoka acha niwaambie, ndugu walimu nimekopa AbC bank shilingi milioni 14 nikatwe kwa miaka nane sawa na miezi 96, nakatwa shilingi laki nne na elfu 14 kwa mwezi.
Nimeshangaa kukuta kwenye salary slip deni ni milioni 39😥😥😥, nimelia sana yaani nakopa 14M narudisha 39?
Mimi kwakua nilikua nina dharula ya haraka sana nilienda ABC maana niliabiwa kule hauzunguki sana na nilipofika niliongea nao tu mda ule ule nikajaza fomu nikaondokq mkopo ukaingia kesho yake, najuta sikupata mda wa wenda kusoma makubaliano na wala hawakunipa nakala yoyote!
Hii sio haki serikali iko wapi jamani?
Nifanyeje naombeni ushauri wenu
View attachment 2744997
Maana umefanya mambo kienyeji sana kana kwamba shule kidogo kama ilikusumbua
Ilikuwaje uchukue mkopo bila kusoma taratibu za mkopo?
Sasa ukatwe zaid ya laki 4 kwa miaka 8 si ujinga huo?
Mbaya zaid unailaum serikali kana kwamba wao ndio waliokutuma ukakope