Nikachukua jukumu la kwenda kwenye tawi la karibu la crdb hapa Dar nikapata ushirikiano mzuri tu kwani walipiga simu kwa wahusika ambao walikiri kabisa kwamba kulikuwa na tatizo na token za Luku hazikuwa generated
Mkuu kama una pesa zako CRDB hamisha haraka, kwa sasa hata ukitoa pesa kwenye ATM haionyeshi balance. Zamani ulikuwa ukitoa pesa inaleta sms kwenye simu hadi Salio. Baadae wakawa wanatoa sms tu ya notification bila kuonyesha Salio. Ikafuata ukitoa kwenye ATM wanaonyesha kiwango ulichotoa na kiwango kilochobaki. Kwa sasa hawafanyi hivyo! Na wakati mwingine hata ukitoa hupati notification kwenye simu. Na kuna mazingira fedha zinapunguzwa kidogo kidogo kwenye account.Takriban mwezi mmoja umepita nilinunua umeme wa Shiling 50,000 kwa kutuia APP ya simbanking. Nilisubiri kutumiwa token zangu za Luku akini sikuzipata. Kesho yake niliwapigia sim Tanesco nikidhani tatizo lipo upande wao lakini wakanihakkishia kwamba crdb hawaja 'generate' token.Nikachukua jukumu la kwenda kwenye tawi la karibu la crdb hapa Dar nikapata ushirikiano mzuri tu kwani walipiga simu kwa wahusika ambao walikiri kabisa kwamba kulikuwa na tatizo na token za Luku hazikuwa generated .Nikaahidiwa kwamba wanashughulikia haraka nipate hizo token zangu au ikishindikana pesa yangu itarudishwa kwenye Account yangu.
Kwa masikitiko makubwa ,token sijapata mpaka sasa na pesa yangu haijarudishwa na sasa imeshapita mwezi mmoja.
Hiki wanachokifanya crdb sio wizi bali ni unyang'anyi wa pesa za wateja.
CRDB warudishe hela yake akapate token kwa nia nyingine. Huelewi nini hapo, au ww ndio unaendesha wizi wa fedha za wateja hapo CRDB?CRDB kakuibia nini hapa kama umeyakiri haya?? Rudi Tanesco huko kwa wamiliki token
Me nadhani feedback za wateja ndio zinasababisha hayo. Imagine mkeo ashike simu aone sms ya CRDB na last balance yako una hela na yeye ulikuwa umemnyima..Mkuu kama una pesa zako CRDB hamisha haraka, kwa sasa hata ukitoa pesa kwenye ATM haionyeshi balance. Zamani ulikuwa ukitoa pesa inaleta sms kwenye simu hadi Salio. Baadae wakawa wanatoa sms tu ya notification bila kuonyesha Salio. Ikafuata ukitoa kwenye ATM wanaonyesha kiwango ulichotoa na kiwango kilochobaki. Kwa sasa hawafanyi hivyo! Na wakati mwingine hata ukitoa hupati notification kwenye simu. Na kuna mazingira fedha zinapunguzwa kidogo kidogo kwenye account.
Kama unajali fedha zako toa huko haraka, kuna tatizo la wazi linaendelea CRDB. Usipuuze ninachokuambia utakuja kunishukuru. Mimi nimetoa fedha zangu zote huko, nimeacha ya kulinda tu account. Nikilipwa kwa account hiyo natoa fedha zangu hapo hapo, na kuhamishia account ya bank nyingine.
Tozo tu za pale zinatakiwa kulipa mishahara ya wafanyakazi wake wote! Kama sivyo, basi Kuna " mchwa"! Nawaza naweza kuwa nimekosea.Kufanya miamala kupitia SimBanking siku hizi ni hatari.
Punguza presha.. kama hela ilienda Tanesco na wao ndio wakashindwa mpa mteja token. CRDB itamuwia ngumu kuirudisha kwa haraka kama ambavyo angeweza kuirudisha kwenye transaction ya CRDB to CRDBCRDB warudishe hela yake akapate token kwa nia nyingine. Huelewi nini hapo, au ww ndio unaendesha wizi wa fedha za wateja hapo CRDB?
WAmetangaza faida kubwa sana ths quarter hamsin yako imo umoTakriban mwezi mmoja umepita nilinunua umeme wa Shiling 50,000 kwa kutuia APP ya simbanking. Nilisubiri kutumiwa token zangu za Luku akini sikuzipata. Kesho yake niliwapigia sim Tanesco nikidhani tatizo lipo upande wao lakini wakanihakkishia kwamba crdb hawaja 'generate' token.Nikachukua jukumu la kwenda kwenye tawi la karibu la crdb hapa Dar nikapata ushirikiano mzuri tu kwani walipiga simu kwa wahusika ambao walikiri kabisa kwamba kulikuwa na tatizo na token za Luku hazikuwa generated .Nikaahidiwa kwamba wanashughulikia haraka nipate hizo token zangu au ikishindikana pesa yangu itarudishwa kwenye Account yangu.
Kwa masikitiko makubwa ,token sijapata mpaka sasa na pesa yangu haijarudishwa na sasa imeshapita mwezi mmoja.
Hiki wanachokifanya crdb sio wizi bali ni unyang'anyi wa pesa za wateja.
Mme update app Yao?Sio wewe tu hao mimi mpaka leo toka mwaka jana sijapata token zangu za elfu 15
Nkweli wanaibia wateja pesaMkuu kama una pesa zako CRDB hamisha haraka, kwa sasa hata ukitoa pesa kwenye ATM haionyeshi balance. Zamani ulikuwa ukitoa pesa inaleta sms kwenye simu hadi Salio. Baadae wakawa wanatoa sms tu ya notification bila kuonyesha Salio. Ikafuata ukitoa kwenye ATM wanaonyesha kiwango ulichotoa na kiwango kilochobaki. Kwa sasa hawafanyi hivyo! Na wakati mwingine hata ukitoa hupati notification kwenye simu. Na kuna mazingira fedha zinapunguzwa kidogo kidogo kwenye account.
Kama unajali fedha zako toa huko haraka, kuna tatizo la wazi linaendelea CRDB. Usipuuze ninachokuambia utakuja kunishukuru. Mimi nimetoa fedha zangu zote huko, nimeacha ya kulinda tu account. Nikilipwa kwa account hiyo natoa fedha zangu hapo hapo, na kuhamishia account ya bank nyingine.
Ndio mkuuMme update app Yao?
Shindii kwanini unaweka hela BankIla hiyo benki sina hamu nayoπππ
Niliihama na sasa nina amani.
Kwamba CRDB wanafanya hivyo kwa kifuata mambo ya wapenzi?Me nadhani feedback za wateja ndio zinasababisha hayo. Imagine mkeo ashike simu aone sms ya CRDB na last balance yako una hela na yeye ulikuwa umemnyima..
Kama sahv NSSF nao mwajiri akikuwekea hela tu unapokea sms. ππ iko siku nao watachoka wataondoa
Amesema ni mwezi sasa.Punguza presha.. kama hela ilienda Tanesco na wao ndio wakashindwa mpa mteja token. CRDB itamuwia ngumu kuirudisha kwa haraka kama ambavyo angeweza kuirudisha kwenye transaction ya CRDB to CRDB
Wapenzi customers na feeback zao.. nimewaza tu. Maana hata kuna kipindi ukiscreenshot simbanking inakuwa blank.. ila sahv una screenshot vizuri tu.Kwamba CRDB wanafanya hivyo kwa kifuata mambo ya wapenzi?
Yaani watu wasipohamisha pesa zao huko watalia kilio cha mbwa mdomo juu.Nkweli wanaibia wateja pesa
hii bank Kuna taarfa za ufisadi wa kutsha ni suala la muda inaweza ikawa mufilis