Mibas
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 4,213
- 6,390
Labda wamepunguza viwango vya makato maana walikua wanakatisha tamaa.Acha kabisa aisee.
Yaani ukitumia kadi yao kutoa pesa nje ya nchi hiyo ada wanayokukata itabidi uangalie mara mbilimbili kuhakiki kama ni kweli au la.
Lakini, majuzi hapa nimetoa hela kwenye ATM na sikukatwa ada kubwa. Sasa sijui wamebadili viwango vyao vya ada au labda nilibahatika tu siku hiyo…..