Hilda Newton: Siwezi kukubali Ubunge wa kuhalalisha haramu

Hilda Newton: Siwezi kukubali Ubunge wa kuhalalisha haramu

Sio swala la mataga hilo, jamaa hakuishi katika misingi ya kianaharakati.Ukiachana na hizo sheria za kwenye makaratasi, swala la kuwa mwanaharakati sio kitu simple kama unavyofikiria ,ndio maana hata wewe hapo ulipo bila ya hizi fake IDs huwezi kupiga kelele juu ya serikali na ukawa salama kama ulivyo sasa.
mimi si mwanaharakati na ajira yangu serikalini hairuhusu kui- criticise serikali, vinginevyo Judiciary wataniondoa.
 
Back
Top Bottom