Hilda Newton: Siwezi kukubali Ubunge wa kuhalalisha haramu

Hilda Newton: Siwezi kukubali Ubunge wa kuhalalisha haramu

Kwa mwanasiasa tabia na itikadi huamuliwa siku ya kufa kwake.


Leo ni mapema sana kumtengenezea tabia. Mpe muda, akutane na matukio ya kisiasa. Akutane na vikwazo lakini pia akutane na fursa.
Huwa wanabadilka kwa namna ya ajabu sana.

Naam
 
Huyu anatafuta kick kwenye mitandao,hana uhakika kama jina lake limo anaandika nini? Kujipaisha tu, anakaa Buza kwa Mpalange ndio akatae ubunge kwa njaa aliyonayo!
Kajinga tu, hakana hiyo bahati.
 
Hebu jaribu kufikiria mume wa Fatma Karume(kama yupo),atakuwa na Hali gani huko aliko.Mke wake anawaza twitter na kuiponda serikali kuliko ambavyo alitakiwa aijali familia yake.

Kimsingi uanaharakati na mapenzi ni vitu viwili tofauti kabisa.Mwanaharakati yoyote akitaka kupotea mapema, basi aingie kwenye mapenzi kijinga.
ni gumu sana.unauguza mboga hiviviv kwa ajili ya repablik of twita.mke ni pambo la nyumba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namnukuu:

"Sifahamu chochote kuhusu orodha ya majina ya Wabunge wa Viti Maalum kupitia CHADEMA inayosemakana kuwa imepelekwa Tume hata hivyo hata kama kweli jina langu lipo siwezi kwenda kuapishwa kuwa Mbunge maana binafsi siwezi kushiriki mchakato wa kuhalalisha haramu kuwa halali"


My Take 1
Tunataka tusikie kauli ya Halima Mdee na Esta Bulaya.
Watimuliwe tu.
 
Muulize Ndugai
Hahahahahaha, kwakwakwakwakwakwa, mama mbavu zangu, mama mbavu zangu hehehehehe.

Kama namuona vile mtoto aliyedungwa sindano, nesi anapokamua dawa inavyomuingia maungoni.
 
Kwa hiyo akienda kinyume tumsifie?
Maana yangu ni kwamba wanasiasa wote ni vigeugeu. Hivyo usiwaamini hata cku 1. Yeye kasoma upepo kaona nini kitatokea mbeleni ndiyo maana anayatamka hayo anayoyatamka. Mkumbuke Dr Slaa!!
 
Hilda ni Mwenyekiti wa BAWACHA Temeke, kama jina lake lingekuwepo angeishae Da nae kuapa. Tuseme tu ukweli ni wachache kama CatheRuge mwenye CPA yake wengine wanahitaji hela ya kuendesha maisha yao hawawezi achia pesa za ubunge
 
Back
Top Bottom