UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 10,047
- 9,346
Kuondoka kwa slaa kuliifanya chadema ibaki jina tu bila substanceMuacheni slaa afanye kazi za nchi
Slaa aliona Bora akauze magazeti kuliko kuwa kiongozi wa lichama lenu
Kuondoka kwa slaa kuliifanya chadema ibaki jina tu bila substanceMuacheni slaa afanye kazi za nchi
Slaa aliona Bora akauze magazeti kuliko kuwa kiongozi wa lichama lenu
Wamepata jembe wapi? Jina lake lilikuwa kwenye orodha akakataa kuapushwa?Huyu dada CHADEMA wamepata jembe
Kauli ya nini wakati muhusika hataki, hataki, hataki tena mumko..... kama mlivyoko......zi....... la ma....ye.....nu.Namnukuu:
"Sifahamu chochote kuhusu orodha ya majina ya Wabunge wa Viti Maalum kupitia CHADEMA inayosemakana kuwa imepelekwa Tume hata hivyo hata kama kweli jina langu lipo siwezi kwenda kuapishwa kuwa Mbunge maana binafsi siwezi kushiriki mchakato wa kuhalalisha haramu kuwa halali"
My Take 1
Tunataka tusikie kauli ya Halima Mdee na Esta Bulaya.
Ndiyo maanake amekataa haramuWamepata jembe wapi? Jina lake lilikuwa kwenye orodha akakataa kuapushwa?
Namnukuu:
"Sifahamu chochote kuhusu orodha ya majina ya Wabunge wa Viti Maalum kupitia CHADEMA inayosemakana kuwa imepelekwa Tume hata hivyo hata kama kweli jina langu lipo siwezi kwenda kuapishwa kuwa Mbunge maana binafsi siwezi kushiriki mchakato wa kuhalalisha haramu kuwa halali"
My Take 1
Tunataka tusikie kauli ya Halima Mdee na Esta Bulaya.
Na angeondoka wakati anagombea urais ingekuwaje? Huyu aliisha rudi kwenu hata kabla ya uchaguzi. Na kwa vile kadi alikuwa nayo... Kama alivyokuwa Mashinji.Kuondoka kwa slaa kuliifanya chadema ibaki jina tu bila substance
Hasira zinatokana na NjaaHuyu dada CHADEMA wamepata jembe
Duuh! Kuna mashoughier wana vitisho...Nakupa onyo la mwisho ukirudia tena nakulipua hadharani
Wabunge kwenye oridha 19 na wameapishwa 19. Yeye alikuwa kwenye orodha ipi? Zilikuwepo mbili au kuna jina la mtu liliongezwa baada ya yeye kukataa? Nani huyo aliyeongezwa?Ndiyo maanake amekataa haramu
ni muda muafaka kwake kipindi hiki aolewe na kuzaa, umri wake upo 35 sasa.Namnukuu:
"Sifahamu chochote kuhusu orodha ya majina ya Wabunge wa Viti Maalum kupitia CHADEMA inayosemakana kuwa imepelekwa Tume hata hivyo hata kama kweli jina langu lipo siwezi kwenda kuapishwa kuwa Mbunge maana binafsi siwezi kushiriki mchakato wa kuhalalisha haramu kuwa halali"
My Take 1
Tunataka tusikie kauli ya Halima Mdee na Esta Bulaya.
Hata kwa Halima mdee mlisema hivihivi😂.Huyu dada huwa ana msimamo sana na hayupo tayari kuyumbishwa na bahasha za khaki
Hawa wanaharakati,huwa hawawezi swala la ndoa kabisa na wengi wao huwa ni wasagaji.Hakuna mwanaume anaejitambua,na anetafura furaha ya moyo wake anaeweza kuoa mwanaharakati.ni muda muafaka kwake kipindi hiki aolewe na kuzaa, umri wake upo 35 sasa.
Wana harakati wengi wapo kwenye mahusino sema hawapendi kuweka mabwana zao hadharani, refer Fatma ana Mdosi, Maria sarungi, Catherine ruge na wengine wengi, hata hilda Newton afike pahala aweke hadharani tuHawa wanaharakati,huwa hawawezi swala la ndoa kabisa na wengi wao huwa ni wasagaji.Hakuna mwanaume anaejitambua,na anetafura furaha ya moyo wake anaeweza kuoa mwanaharakati.
Aisee, ko bwanaako na ww atakuwa Mdosi flan ivi eeh??! Naye um'display dzain bas tumjue kama vpWana harakati wengi wapo kwenye mahusino sema hawapendi kuweka mabwana zao hadharani, refer Fatma ana Mdosi, Maria sarungi, Catherine ruge na wengine wengi, hata hilda Newton afike pahala aweke hadharani tu
Hahahaaaa! Mambo mazuri mda kiduchu jaman.Hata kwa Halima mdee mlisema hivihivi[emoji23].