Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,930
Pamoja sn comradeAmen to that.
Pamoja sn comradeAmen to that.
Jamaa kaongea ukweli mchungu,Motivation yako ni pesa kama Judas Escariot. Hilda yuko tofauti. Watanzania mil 60 hawezi kuwa na malengo ya pesa tu kama wewe. Nyie ndio mnaoua wenzenu kwa sababu ya pesa.
Unashindwa hata kuelewa kwa nini Baba wa Taifa aliacha kazi yake yenye mshahara na kwenda kufanya kazi isiyokuwa na mshahara ya kupigania haki za Watanganyika. Kama ni mjinga kiasi hicho siwezi kukubadilisha. Endelea kuua kwa ajili ya pesa. Mungu anakuona.
Anaweza apate au asizipate hizo unazoziita za halali Ila kule mjengoni Ni uhakika 100%Unafikiri yeye ni kama ww ukipewa elfu 5 tu watu wanakupiga pipe? Haendekezi njaa wala kushiriki dhuluma. Isitoshe sio mzee, anaweza kupata za halali sio hizo za bunge la wizi wa kura na umwagaji wa damu.
Nimekuuliza niambie ni sauti yao ipi ilisikika bunge lililopita, ukasema maamuzi Ni kura, kwani sasa hivi maamuzi hayatakuwa ya kura? Sisi wafuasi wa upinzani wala hatutegemei hilo bunge kibogoyo kuwasikia viongozi wetu.But sauti zao zitasikika kuliko kususa then mnakaa miaka mitano hamna sauti kabisa
Anaweza apate au asizipate hizo unazoziita za halali Ila kule mjengoni Ni uhakika 100%
Nini dhambi kwa mwenye dhiki!
Uchaguzi wa 2015 Lowasa nae alisema aliibiwa kura lakini Mbowe na wenzake waliyakubali matokeo yao ya Ubunge na wakaenda Bungeni.
Sina shaka na upinzani wangu, na siamini upinzani wa kwenye bunge kibogoyo.
Ila yamwaka huu ni too much, yaani wameiba live kabisaUchaguzi wa 2015 Lowasa nae alisema aliibiwa kura lakini Mbowe na wenzake waliyakubali matokeo yao ya Ubunge na wakaenda Bungeni.
Sasa mlisimamisha wabunge wa nn?
Mnadai kitu ambacho kwa serikali za Kiafrica ni ngumu sana
Mkuu hizi ni kauli za kishujaa mitandaoni na hazina uhalisia wowote
Nyerere ni sawa na Dr Slaa alipokubali kuachia kugombea ubunge aliokua na uhakika nao kwa asilimia mia na akakubali kugombea urais ambao alijua fika hawezi kushinda kwa makubaliano ya kulipwa haki za sawa na mbunge atakaposhindwa.........same applied to Mnyika mwaka huu
Nyerere alihakikishiwa kipato na maisha zaidi ya mshahara wake na wazee wa Dar
Walimchangia na kuhakikisha anapata mahitaji yake yote
Sasa huyu Hilda anakua muhanga kwasababu tu akina Mbowe hawajapa ubunge na wao
2015 hatukuyatambua matokeo lakini sikuwaona akina mbowe na lema wakiukataa ubunge wao
Sasa hizi ni kesi mbili tofauti kati ya nyerere na hilda
Tulisimamisha ili kuuweka wazi upuuzi wa Serikali za kiafrika.
Viti vyote 22 mpeni Aidah Kennan ajaze nafasi zote za viti maalum itapendeza zaidi .Mungu awape hekima na busara Mdee,Bulaya na wengineo waudhurie bungeni"Aaamin"
alokwambia inataka kuuliwa nani??Ila nimeamini kuia chadema ni ngumu sana, pamoja na wizi mkubwa lakini bado chadema wamepata wabunge viti maalum 22. Mwaka 2015 walipata 36. Naamin kweli ccm walipoteza viti Vinci sana
Kumbe ujui kitu, kama unaamini uchaguzi ulikuwa wa haki tangulia mirembe.alokwambia inataka kuuliwa nani??
ikae ijue mahali pake.watizii ni watu janja sana.mkora alifika kutukana watu wana coona,hajakaa vizuri akasem ushoga ni faraga ya mtu,hatujakaa vizur madin tunayaweka rekhan nikasema ohooo maweee
Sio tatizo lako ni tatizo la walio andika historia kimakosaWeka pesa mbele labda siku ukifa, utazikwa nazo. Wapo watu wanaishi kwa principles na values. Nyerere na Hilda wako kwenye kundi hilo. Wewe ganga njaa... Usimlazimishe Hilda agange njaa kama wewe. Kama unataka ubunge kagombee. Usimlazimishe Hilda kufanya kitu haramu.