Hilda Newton: Siwezi kukubali Ubunge wa kuhalalisha haramu

Hilda Newton: Siwezi kukubali Ubunge wa kuhalalisha haramu

wewe jamaa ni mtu ajabu sana sasa ulikuwa unasherekea bunge la kijana wewe.
Ni heri vitimaalum wa CHADEMA waingie Bungeni,makamanda wakuu wakutoa miongozo kipindi hiki kigumu wanakimbilia ughaibuni.
 
Sifa ya Mungu ni kujibu maombi,hasa maombi mema.
Muheshimiwa Mdee na Muheshimiwa Bulaya ni watu makini sana,naamini wataingia bungeni.
Dhambi za dhulma zinawatesa sasa mnatamani mpaka Mungu ashiriki sehemu ya Dhambi zenu. Mshirikisheni kale kamungu kalichomwingiza Gwajima kwa Kura za wizi.
 
Namnukuu.....
Sifahamu chochote kuhusu orodha ya majina ya Wabunge wa Viti Maalum kupitia Chadema inayosemakana kuwa imepelekwa Tume hata hivyo hata kama kweli jina langu lipo siwezi kwenda kuapishwa kuwa Mbunge maana binafsi siwezi kushiriki mchakato wa kuhalalisha haramu kuwa halali. Mwisho wa kunukuu...
Dada nakupongeza sana kukumbatia haki kuliko fedha haramu za kulipwa kama mbunge wakati wenzako wanawinndwa kama swala
 
Kwani CCM wanamaslahi gani na Wabunge wa upinzania tena si lengo limetimia kuwa wawe wao tu huko mjengoni.....ili ndiyoooooooooooo iwe ya kutosha? sasa wanawatafuta wapinzania wa nini?
 
Namnukuu.....
Sifahamu chochote kuhusu orodha ya majina ya Wabunge wa Viti Maalum kupitia Chadema inayosemakana kuwa imepelekwa Tume hata hivyo hata kama kweli jina langu lipo siwezi kwenda kuapishwa kuwa Mbunge maana binafsi siwezi kushiriki mchakato wa kuhalalisha haramu kuwa halali. Mwisho wa kunukuu.

View attachment 1623188

My Take 1
Tunataka tusikie kauli ya Halima Mdee na Esta Bulaya.

My Take 2
NEC njooni PM niwape connection ya mbuge mwingine
Ninavojua, aende; asiende, Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lazima lifanye kazi yake ya kuwatumikia Watanzania kwa kipindi cha miaka mitano ijayo. Kuzira kwa Wapinzani sio habari tena kwa Watanzania.
 
Namnukuu.....
Sifahamu chochote kuhusu orodha ya majina ya Wabunge wa Viti Maalum kupitia CHADEMA inayosemakana kuwa imepelekwa Tume hata hivyo hata kama kweli jina langu lipo siwezi kwenda kuapishwa kuwa Mbunge maana binafsi siwezi kushiriki mchakato wa kuhalalisha haramu kuwa halali. Mwisho wa kunukuu.

View attachment 1623188

My Take 1
Tunataka tusikie kauli ya Halima Mdee na Esta Bulaya.

My Take 2
NEC njooni PM niwape connection ya mbuge mwingine
Huyu anatafuta kick kwenye mitandao,hana uhakika kama jina lake limo anaandika nini? Kujipaisha tu, anakaa Buza kwa Mpalange ndio akatae ubunge kwa njaa aliyonayo!
 
Bado unamwamini Lissu na beberu lake Amsterdam? Unamwamini Mbowe?
Lazima una matatizo kichwani.
Mwenye matatizo kichwani ni wewe unaye wazia tumbo lako leo na kuwasahau ndugu zako mamilioni kesho yao itakuwaje
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vipi mkuu nilikwambia Lisu hafikishi 20% umeona sasa unavyopata tabu?
Tabu mnapata nyinyi ambao uovu mlio ufanya utawagharimu maisha yenu yoote
 
Back
Top Bottom