Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,265
- 98,318
Utayajua kipindi ukiwa kwenu gisenyiUlisema ccm ikifanya uovu utakinukisha hutamwachia Mungu, vipi sasa imekuwaje?
Utayajua kipindi ukiwa kwenu gisenyiUlisema ccm ikifanya uovu utakinukisha hutamwachia Mungu, vipi sasa imekuwaje?
Sawa MadamHajawahi onja kuingiziwa benki million 300 ukimaliza ubunge. Otherwise asingekataa.
Huko ndio utaenda kuandamana?Utayajua kipindi ukiwa kwenu gisenyi
Kama kweli Lissu alikuwa kwenye hatari hiyo inayoelezwa sasa baada ya uchaguzi,mbona karudi Tanzania,akapokelewa na wafuasi wake airport kwa nderemo na vifijo,akapewa ulinzi na jeshi la polisi, akasafiri mikoa tofauti vijijini na mijini,lakini baada ya kushindwa uchaguzi vibaya kwaaibu wakaanza uzushi eti wanatishiwa maisha!?Zile risasi mlizompiga LISU.si mlianza kumtishia? Usijitoe ufahamu wewe mshiriki wa Dhambi
Kukubali ubunge wa viti au hata wa kuteuliwa na Rais toka upinzani sio usaliti bali ni kupata jukwaa la kuendeleza kupigania ajenda zenye manufaa kwa taifa.Namnukuu.....
Sifahamu chochote kuhusu orodha ya majina ya Wabunge wa Viti Maalum kupitia CHADEMA inayosemakana kuwa imepelekwa Tume hata hivyo hata kama kweli jina langu lipo siwezi kwenda kuapishwa kuwa Mbunge maana binafsi siwezi kushiriki mchakato wa kuhalalisha haramu kuwa halali. Mwisho wa kunukuu...
Kasahau kwamba Lisu alisema haogopi chochote na akasema atarusha chopa yake toka KIA to Dar bila kibali maana haogopi chochote.Kama kweli Lissu alikuwa kwenye hatari hiyo inayoelezwa sasa baada ya uchaguzi,mbona karudi Tanzania,akapokelewa na wafuasi wake airport kwa nderemo na vifijo,akapewa ulinzi na jeshi la polisi,akasafiri mikoa tofauti vijijini na mijini,lakini baada ya kushindwa uchaguzi vibaya kwaaibu wakaanza uzushi eti wanatishiwa maisha!?
Ilo vuguvugu la kudai katiba mpya na tume huru atasimamia nani ilhali makamnda wakuu wa kikosi wanakimbia?
Comment bora kwangu 2020,kongole kwakoUsipokuwa na haya basi wewe huwezi kujitofautisha na mnyama wa porini
Naona mkuu huwajui vizuri Wanawake,Huyu dada huwa ana msimamo sana na hayupo tayari kuyumbishwa na bahasha za khaki
Tofautisha kumsifia mtu kwa kazi zake na mapenzi yake binafsi.Naona mkuu huwajui vizuri wanawake,
Mwanamke anaweza kuwa anakupenda kweli Ila ukimtongoza anajifanya kukutolea nje kumbe anakupenda kwelikweli.
So, Usishangae huyuhuyu unae Muongelea ukaanza kumuona kwenye Viunga vya Dodoma.
Asante sana mkuuComment bora kwangu 2020,kongole kwako
Mwanasiasa wa kumuamini Tanzania bado hata bibi yake hajazaliwa.
Ni kweli hata lisu alisema magu ametayalishiwa kura 12m.ulikuwa sahihi nadhani pia ulikuwa umezipata za ndani ya kapeti,NB zile zenyewe hasa angezipata hizo?adhani pia ilikuwa umepata [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vipi mkuu nilikwambia Lissu hafikishi 20% umeona sasa unavyopata tabu?
Huyu dada CHADEMA wamepata jembe
Namnukuu:
"Sifahamu chochote kuhusu orodha ya majina ya Wabunge wa Viti Maalum kupitia CHADEMA inayosemakana kuwa imepelekwa Tume hata hivyo hata kama kweli jina langu lipo siwezi kwenda kuapishwa kuwa Mbunge maana binafsi siwezi kushiriki mchakato wa kuhalalisha haramu kuwa halali"
My Take 1
Tunataka tusikie kauli ya Halima Mdee na Esta Bulaya.
Wewe unawaza kama mimi. Nipe number yako nikutumie vocha ya elfu moja.Huyu ni bonge la boya. Nenda bungeni kapige mpunga dada.... Wenzio tangu 2010 hawajakubali matokeo lakini wanaenda bungeni km kawaida.
Hivi vimisimamo vyao vya saizi ni sababu wameukosa ubunge.
Walisusia uchaguzi wa serikali za mitaa sababu haukuwa na maslah kwao Cha ajabu wameshiriki uchaguzi wa Urais.
Wabinafsi Sana Hawa watu.
Dada anatafuta sifa za kijinga.Wewe unawaza kama mimi. Nipe number yako nikutumie vocha ya elfu moja.