Hilda Newton: Siwezi kukubali Ubunge wa kuhalalisha haramu

Hilda Newton: Siwezi kukubali Ubunge wa kuhalalisha haramu

Namnukuu:

"Sifahamu chochote kuhusu orodha ya majina ya Wabunge wa Viti Maalum kupitia CHADEMA inayosemakana kuwa imepelekwa Tume hata hivyo hata kama kweli jina langu lipo siwezi kwenda kuapishwa kuwa Mbunge maana binafsi siwezi kushiriki mchakato wa kuhalalisha haramu kuwa halali"


My Take 1
Tunataka tusikie kauli ya Halima Mdee na Esta Bulaya.
Sawa ila mwambie ajitahidi kurejesha mkopo alio chukua Finca microfinance! Maana ananiweka Mimi kama mdhamini wake wa mkopo kwenye wakati ngumu sana!
 
Hizi lugha ndio ziliwafanya cdm wakashiriki uchanguzi huu wa kishenzi. Matokeo yake imekuwa ni hujuma za wazi zaidi ya hapo awali. Tunasema hivi, mbunge yoyote wa cdm hasa wa viti maalum kujipeleka kwenye hilo bunge ni kutufanya kumpuuza moja kwa moja.
Ndugu yangu Tindo, naielewa concern yako, lakini tambua kwamba siasa inataka uwanja wa kuifanya! Pale Dodoma hata ukiwa na Mtu mmoja tu ni afadhali kuliko kutokuwa na Mtu! Mungu anaweza kutumia hawa wanawake kuangusha utawala huu wa kidhalimu! Mbinu za kivita, kungetakiwa tuwe na mamluki hata ndani ya ccm yenyewe! Wao walituletea Lowasa na Sumaye, Kwanini na Sisi tusipenyeze watu wetu mleee? Weka watu polisi, jeshini, tiss, tume, nk!
 
Ndugu yangu Tindo, naielewa concern yako, lakini tambua kwamba siasa inataka uwanja wa kuifanya! Pale Dodoma hata ukiwa na Mtu mmoja tu ni afadhali kuliko kutokuwa na Mtu! Mungu anaweza kutumia hawa wanawake kuangusha utawala huu wa kidhalimu! Mbinu za kivita, kungetakiwa tuwe na mamluki hata ndani ya ccm yenyewe! Wao walituletea Lowasa na Sumaye, Kwanini na Sisi tusipenyeze watu wetu mleee? Weka watu polisi, jeshini, tiss, tume, nk!
Hakuna siasa yoyote wapinzani watafanya kwenye hili bunge kibogoyo. Kumbuka hilo bunge anayeliongoza yuko ikulu, na yeye ndio kaagiza uchaguzi huu unajisiwe, ili wapinzani hasa cdm wasiiingie huko bungeni.
 
Hakuna siasa yoyote wapinzani watafanya kwenye hili bunge kibogoyo. Kumbuka hilo bunge anayeliongoza yuko ikulu, na yeye ndio kaagiza uchaguzi huu unajisiwe, ili wapinzani hasa cdm wasiiingie huko bungeni.
Ndugu yangu, mimi na wewe tunakubaliana kwamba Mdee mmoja wa kwetu ni zaidi ya maccm 50, Bulaya mmoja tu ana umuhimu zaidi ya kina Msukuma mia! Almradi ni haki yetu, hata kama ingekua Mtu mmoja tusiache! Alafu wengine wanaobaki, penyeza mamluki kwao! Yaani unataka 2025 tuanzie zero?! Bila kutumia ujasusi na kujitoa mhanga ccm watarudia yale yale miaka yote! Wazungu wanasema huwezi kufanya kitu kile kile kila mara Alafu utegemee matokeo tofauti! Tubadili mbinu!
 
Siasa ni sawa na uchumi wa Dunia au biashara ya soko la hisa. Leo Halima Mdee, Ester Matiku na wenzao thamani yao imeshuka ghafla mitandaoni baada ya jana kuapishwa.

Anaibuka Hilda Newton anakimbiza akimsaidia Catherine Ruge na Devota Minja ambao wametoka hadharani na kuwaita marafiki zao wasaliti.

Wakati haya yanatokea mchezo huu wa kuapisha wabunge viti maalumu unaingia mchanga kwa watu wachache wasiojua siasa kutumia nguvu kwenye Mambo ya kisheria na hivyo kuonekana wazi kwamba viongozi wa viti maalumu si wawakilishi wa wananchi bali wawakilishi wa familia na chama Tawala na wala hawana baraka machoni pa sheria. From prison to parliament.

Funzo, hakuna mwanasiasa mwenye nguvu Tanzania, hakuna superstar wa siasa hata Msigwa, Sugu, Mbowe, Zitto, Haule, Lema nk wakijiunga na CCM kwa namna yoyote wanapotea kwenye ramani ya siasa. Historia ipo wazi, muulizeni Slaa alivyopotea atawasilimulia. Ukipenda pesa ukatutema tunakuacha uwe mfuasi wa pesa maana hata sisi tunazo japo kidunchu.

MTAJUTA KUTUAMINISHA CCM NI MBAYA NA TUKAAMINI, HAKUNA NAMNA MTATUSHAWISHI IMEKUWA NZURI...... MLITUITA TUKAITIKA TUKAZUNGUSHA NA MIKONO YA MABADILIKO HATURUDI NYUMA MTAONDOKA SISI TUTABAKI KUSIMAMA NA WACHACHE WANAOTUJALI. LISSU TUMEMCHANGIA MWANZO MWISHO WA KAMPENI, HAIMAANISHI YEYE NI STAR ILA ALIKUA ANATUWAKILISHA, AKITUTEMA TUNAMTEMA.....MBOWE AKITUTEMA TUNAMTEMA
 
Siasa ni sawa na uchumi wa Dunia au biashara ya soko la hisa. Leo halima Mdee, Ester Matiku na wenzao thamani yao imeshuka ghafla mitandaoni baada ya jana kuapishwa.

Anaibuka Hilda Newton anakimbiza akimsaidia Catherine Ruge na Devota Minja ambao wametoka adharani na kuwaita marafiki zao wasaliti.

Wakati haya yanatokea mchezo huu wa kuapisha wabunge viti maalumu unaingia mchanga kwa watu wachache wasiojua siasa kutumia nguvu kwenye Mambo ya kisheria na hivyo kuonekana wazi kwamba viongozi wa viti maalumu si wawakilishi wa wananchi bali wawakilishi wa familia na chama Tawala na Wala hawana baraka machoni pa sheria. From prison to parliament.

Funzo, hakuna mwanasiasa mwenye nguvu Tanzania, hakuna superstar wa siasa hata msigwa, sugu, Mbowe, zito, Haule,lema nk wakijuinga na CCM kwa namna yoyote wanapotea kwenye ramani ya siasa. Historia ipo wazi, muulizeni Slaa alivyopotea atawasilimulia. Ukipenda pesa ukatutema tunakuacha uwe mtuasi wa pesa maana hata sisi tunazo japo kidunchu.

MTAJUTA KUTUAMINISHA CCM NI MBAYA NA TUKAAMINI, HAKUNA NAMNA MTATUSHAWISHI IMEKUWA NZURI......MLITUITA TUKAITIKA TUKAZUNGUSHA NA MIKONO YA MABADILIKO HATURUDI NYUMA MTAONDOKA SISI TUTABAKI KUSIMAMA NA WACHACHE WANAOTUJALI. LISU TUMEMCHANGIA MWANZO MWISHO WA KAMPENI, HAIMAANISHI YEYE NI STAR ILA ALIKUA ANATUWAKILISHA, AKITUTEMA TUNAMTEMA.....MBOWE AKITUTEMA TUNAMTEMA
Wewe ni kilaza huo wasifu wa Hilda uko wapi?
 
Hizo sifa za kumsifia Huyo Hilda nyuutoni naona zimekushinda ila tambua ugali una nguvu sana kuliko hayo maneno matupu.
 
Hamna kitu huyo anapiga kelele tuu kujifanya CHADEMA lialia. Wenzao ndio wabunge hivyo wao waendelee kupambana huko Tweeter. Watu wanaendelea kupiga mapene tuu
 
Ule uchafu wako wa kutunga uko wapi? Nakupa onyo la mwisho ukirudia tena nakulipua hadharani
Haya ! haya ! Hayaaaa ! Kumekucha ! Asie mwana aeleke jiwe! MUNGU IBARIKI CHADEMA NA WAZUNGU ! 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom