Pearce
JF-Expert Member
- Dec 15, 2018
- 732
- 1,746
Baada ya Mapinduzi dhidi ya SHAH 1979, wengi vijana ambao walikuwa na hadhi ya militants ambao wengi baada ya 1990s walikuwa na vyeo vya juu katika Jeshi la kimapinduzi ya IRAN.
Kizazi hicho kimeanza kufutika katika uso wa nchi badala ya ISRAEL.
Kuanzia ajali ya Helicopter iliomuondoa IBRAHIM RAISI mpaka mashambulizi yalionza Sasa.
Najifunza kitu IRAN ponea Yao huwa DEMOCRATIC inaposhika hatamu. Msimamo wa REPUBLICAN huwa ni mkali wanaposhika hatamu.
Tangia zama za GEORGE BUSH mkubwa.mpaka kwa TRUMP kurudi madarakani. Inahitimisha kwamba do not rely on RUSSIAN Hawa walimgeuka hadi SAMORA MASHELLE ni allied not to trust kabisa.
UGAIDI au kuchochea chokochoko hakulipi matokeo yake ni aibu