Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,367
- 11,604
Umaskini Umaskini Umaskini Nakuita mara tatu😭
Yupo yupo tu. Kwa mujibu wake ameanza kupambania maisha yake tangu akiwa na miaka 14 baada ya kufeli shule darasa la saba. Kapambana sana maskini! Kuna kipindi alifikia akasema hata mapenzi aache kufanya kabisa maskini, akiamini nguvu za kufanyia mapenzi ataekeza gereji ili apige hatua
Lahaula lakwata! Akafikisha 31 bila kuwa na nyumba wala gari, alipanga chumba cha giza somewhere in Dsm, sema alikuwa ashajikatia tamaa, akaanza biashara ya uraibu wa pombe. Atafanya nini maskini! Akalewa sana, japo chumba chake kilikuwa cha tope na lango bovu la bati, bado aliandika maneno Sitaki Demu kwenye paji la mlango wake. Ukuta wa nyumba yake ulijaa mabomu ya manii kutokana na uraibu wake wa kujichukulia sheria mkononi maskini! Tuyaache hayo, maake hayatuhusu...
Alivyofikisha umri wa miaka 39 akapata ka connection uchwara ka kumpatia walau 5,000 kwa siku, akaona wacha aoe, kila mwanamke aliyemfuata kumrushia nyavu, aliishia kumwambia Ujana wako ule na nani halafu uzee uje kumalizia kwangu, alihuzunika sana. Si vibinti tu, hata single maza walimpiga chenga, alikasirika sana akaamua kunywa pombe iliyochanganyikana na wanzuki, chang'aa, madompo na matakataka ya kila aina kiasi cha kukonda mithili ya picha njiti...
Wacheni kwanza ninywe maji