Hili baba lina miaka 43, halijaoa na halina mtoto. Ila lina sababu ya msingi japo haina mantiki

Nomaa sana boss, imagine Mimi Nina miaka 73 saivi hapa najiandaa kwenda Linda usiku Dispensary X,mshahala Elfu 40 mwezi.
Kuna hadi wazee kabisa unakutana nao wanasukuma (Matoroli/Mikokoteni) unajiuliza hivi huyu mzee alivokuwa kijana alikuwa anafanya nini!! Kumbe Ali mess-up kidogo tu ndo ikawa mazima.

"Simulia sana, omba yasikukute"
 
Katika tatizo kubwa linatesa watu ni kutotaka kua tofauti na wengine.
 
Nomaa sana boss, imagine Mimi Nina miaka 73 saivi hapa najiandaa kwenda Linda usiku Dispensary X,mshahala Elfu 40 mwezi.
Noma kaka, na lindo likiibwa unakuwa matatani, au majambazi yakivamia we ndo yanaañza nawewe kabla ya chochote.
 
Huyo ni wewe?
 
Kuna vitu si vyakucheka! havitokei katika hali ya kawaida na wala wakati mwingine si kwahiyari yao!
Shukuru MWENYEZI MUNGU havijakukuta au kukuta familia yako ni balaaa!
inawezekana kuna mtu kamtoa fungu la kumi yeye anahangaika jamaa anapeta!
achana kabisa na Wali mwengu bora wali maharage tumbo laweza jaa gesi kisha likatulia walikini wengu hujui ni nini tunda au mboga za majani!
 
Wajinga ni hao walimzaa wakiwa na matarajio makubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…