Hili bango ni live kwa kiba..

Hili bango ni live kwa kiba..

Planett

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2014
Posts
10,497
Reaction score
16,180
Mashabiki wa Ray vanny na wcb wana maneno hatari
IMG_20170628_152401.jpg
 
sasa nana king mim alikiba sio king dooo mashabiki wang wana ni xtukia kama na wa tapeli
 
Haiba ya wabongo ilivyo juu sana yan hailingani na zao halisi ya kile wanachoshabikia, Ushabiki wa kijinga sana.
 
ali kiba atakuja kuimba bado sasa hivi
 
Moja ya sababu ya nchi za ulimwengu wa tatu ikiwemo Tanzania ni kwamba tunatafuta mafanikio huku tunawafiria wengine kwa ajili ya "kuwananga" lakini mbele ya watu tunajifanya tunapenda wainuke...ni kwenye soka na michezo mingine tu kauli kama hizo ndo zimezoeleweka kwa kuwa ni za kishabiki zaidi (hazina madhara) kwa kuwa soka ni mchezo wa wazi na unaendeshwa kwa kanuni na si hisia kama ilivyo muziki (ambao unahitaji kutiana moyo)

All in all kama ni ushabiki usiomaanisha chochote zaidi ya utani bango hilo halina shida
 
Nshasema sishindani na mtu mimi!!!!!!!! Music ni hisia zaidi na si ushindani,,,, washamba tu hao na bango lao... wanadhani simba na yanga hapa!!
 
Moja ya sababu ya nchi za ulimwengu wa tatu ikiwemo Tanzania ni kwamba tunatafuta mafanikio huku tunawafiria wengine kwa ajili ya "kuwananga" lakini mbele ya watu tunajifanya tunapenda wainuke...ni kwenye soka na michezo mingine tu kauli kama hizo ndo zimezoeleweka kwa kuwa ni za kishabiki zaidi (hazina madhara) kwa kuwa soka ni mchezo wa wazi na unaendeshwa kwa kanuni na si hisia kama ilivyo muziki (ambao unahitaji kutiana moyo)

All in all kama ni ushabiki usiomaanisha chochote zaidi ya utani bango hilo halina shida

Kweli kabisa mkuu....!!!
 
Back
Top Bottom