Hili chapuo analopigiwa Lugumi ili kumsafisha linatia shaka. Mamlaka zisichukulie kama jambo la kawaida!

ila na yeye ni binadamu

he deserved everything asee. acha tu watu waishi 🙌🏾🙌🏾
 
gentleman,
sihusiki na ubinafsi wa mtu yeyote katika kazi na majukumu yake kiuchumi,

nadeal na siasa pekee
Kuwa muwazi tu kwamba umekosa hoja, mizigo mingine ni mizito mno.

Uchawa (ukibaraka) ni kazi ya hovyo kuliko zote chini ya jua. Unalazimika kutetea kila uchafu na upuuzi na kuzusha uongo, uzushi, propaganda... ili ulipwe 🚮
 
Jentromen Bunduki pia zinashiriki siasa. Usikwepe uhusika.
kwahiyo kumbe zama za masuala ya akina Kinjikitile Ngwale wababe wa vita za msituni risasi kubadlika na kua maji zimerejea?

waganga na washirikina wote mmekubaliana lakini hiyo sayansi kurejeshwa kwenye matumizi?🐒
 
kwahiyo kumbe zama za masuala ya akina Kinjikitile Ngwale wababe wa vita za msituni risasi kubadlika na kua maji zimerejea?

waganga na washirikina wote mmekubaliana lakini hiyo sayansi kurejeshwa kwenye matumizi?🐒
Uvccm wanamiliki Bunduki Nani kawaruhusu ?
Siasa Ni Bunduki huko sisiem.
 
Hili lijamaa limeibuka ghafla mtandaoni, linapost motivation comments, linsjigamba linatoa misaada,
Baada ya kuiba na kukusanya pesa haramu, sasa hv, guilty is killing him, maumivu makali kwa mazambi liliyofanya, lilitegemea kuwa na ma Vogue 20 kwenye chumba cha AC, italeta furaha, furaha ipo kuyaendesha, lakini mwili unachakaa, macho yanashindwa kuona mbali,utaendeshaje? Nafsi inamsuta, mtu una ukwasi mkubwa kama vile, lakini hauna wafanyakazi hata 10! He better drop and die
 
Acha ukuda.
 
Kwani kwenye hii regime ni fisadi gani papa asietesa .
 
Wengi huhoji biashara ya Lugumi ni ipi?


Kwa haraka haraka kama ulifahamu biashara za manji ndio hizo anafanya Lugumi hadi leo.

Majuzi Said Hamad Lugumi alisikika akisema mwaka 2013 Manji alimkopesha dollar milioni 40, watu wakashangaa, anyway hua anasema akikwama anaomba msaada Israel unajua kwa nini?

Pia soma: Hili chapuo analopigiwa Lugumi ili kumsafisha linatia shaka. Mamlaka zisichukulie kama jambo la kawaida!

Israel matajiri wa viwanda vya silaha mbalimbali Lugumi enterprise's ni certified agent wa kusambaza au kuuza silaha na vifaa vya kijeshi kwenye nchi mbalimbali, iwe ulaya mashariki, America na pengine pote hadi nchi nyingi za Afrika huko ndio Lugumi hupatia pesa zake.

Ukisema Lugumi ni fisadi ladies and Gentlemen unaudanganya moyo wako maana hata jiwe alijaribu kutaka aishi kama shetani aliishia kuona kina kirefu.

Hata ile tenda ya polisi mzigo waliuzuia bandarini ndio wakaona wamtarget ili wamfilisi lakini kuja kushtuka Lugumi ni mogul supplier wa bidhaa hizo nchi nyingi tu.

Pia soma: Vyombo vya Habari Tanzania vyawekwa Mfukoni mwa Lugumi. Taarifa zake za Ufisadi zaondolewa Mitandaoni

Watanzania biashara sio duka Tu UNAPOKUA NA connection dunia ni rahisi sana, jamaa anaingiza pesa ndefu kuliko mnavofikiri.

Tuachane na kulaumu waliofanikiwa, watu walishaandaa njia zao za pesa kitambo na tuache ujuaji tupambane nasi kusaka mafanikio maana kutokufanikiwa duniani ni aibu.
 

Chawa ushapewa mlungula uje ufanye kazi yako

Kaweza kuhonga akina Millard kaja kukutana na kigingi JamiiForums ambako uozo wake wote ufisadi upo mwanzo mwisho. Mtashaaa na huyo mafia wenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…