Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
gentleman,Dogo,
Kwani Sa100 aliyetajwa hapo siyo mwanasiasa?

ila na yeye ni binadamuTumeona wachafu wote walirudishwa vitini na kisha wakaota mapembe, akaanza kuwatoa.
Sio huyo tu, Jisiemu, Mangji, Seedti, Kinamna, Roastharm...mara Abdibull naye katokezea etc.
- Maali za mma zikaanza kwenda
- Pesa za wageni zikapotea
- Mpaka Laisy akawa anatunza pesa za wageni kama wafanyavyo akina papaa.
- Mitandoni Mashuka ya mmasai yakaanza kutapanywa
- Gambling imekuwa ni mchezo wa kutangazwa kwa nguvu na Chawaz wanaomtaja mzazi!
Boom, Lungumi naye huyo...Biometric vituo vya raia hamna, pesa katia kibindoni, leo ni mtu huru tu uraiani!
Ndoto ilipozidi kuwa ya kutisha, nikashtuka....
Kuwa muwazi tu kwamba umekosa hoja, mizigo mingine ni mizito mno.gentleman,
sihusiki na ubinafsi wa mtu yeyote katika kazi na majukumu yake kiuchumi,
nadeal na siasa pekee![]()
Jentromen Bunduki pia zinashiriki siasa. Usikwepe uhusika.gentleman,
nahusika na siasa pekee kuelekea mwaka mpya 2025![]()
kwahiyo kumbe zama za masuala ya akina Kinjikitile Ngwale wababe wa vita za msituni risasi kubadlika na kua maji zimerejea?Jentromen Bunduki pia zinashiriki siasa. Usikwepe uhusika.
Uvccm wanamiliki Bunduki Nani kawaruhusu ?kwahiyo kumbe zama za masuala ya akina Kinjikitile Ngwale wababe wa vita za msituni risasi kubadlika na kua maji zimerejea?
waganga na washirikina wote mmekubaliana lakini hiyo sayansi kurejeshwa kwenye matumizi?🐒
Hili lijamaa limeibuka ghafla mtandaoni, linapost motivation comments, linsjigamba linatoa misaada,Wakuu,
Kama mmeona sasa hivi karibu kila siku Lugumi yuko kwenye media, mara katoa msaada kwa watoto yatima, mara anajengea yatima nyumba, mara kaalika watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu kufanya dua, mara sijui kaenda kulisha wapi, yaani ni heka heka mtindo mmoja.
Na Millard kama kawa kwenye ishu hizi hakosi. Siyo siri kuwa anatumika na watu mbalimbali mashuhuri kuwasafisha kutokana na uozo wanaofanya kwa maslahi binafsi.
Mitume na manabii wenye rekodi za ajabu wanamtumia Millard awasafishe, wanasiasa wapuuzi wakitaka mambo yao yapaishwe kuonekana wema na wanawatumikia watanzania kama mama Teresa Millard ndio kimbilio lao, GSM (Home Shopping Center) wamemtumia vizuri kuwanfanya raia wawaone wema wakati ni wachafu zaidi ya uchafu wenyewe (kupata picha ya ufirauni wa kina GSM soma hapa -.Mfanyabiashara Said Mohammed Saad wa Home Shopping Center (GSM Foundation)
Mfanyabiashara Said Mohammed Saad Utangulizi Mfanyabiashara Said Mohammed Saad anamiliki Kampuni ya Home Shopping Center iliyopo Kariakoo Mtaa wa Swahili na Msimbazi katika Jengo la Ghorofa lenye vioo vilivyochorwa picha za waigizaji wa Kikundi cha Orijino Commedy kinachorusha vipindi...www.jamiiforums.com
Millard kafuta habari zote za ufisadi kuhusu Lugumi unafikiri amefanya hivyo bila kuachiwa mzigo? Kwa hili chapuo anafanya kuhakikisha yupo machoni petu kila wakati atakuwa kamegewa mzigo mchafu wa kutosha.
Ninavyofahamu Lugumi ako na skendo za ufisadi wa kutosha, na nasikia ni mafia kwelikweli.
Hili chapuo si bahati mbaya, limekuja ghafla na kwa kasi ya ajabu, inadaiwa anaenda kuingizwa Jeshini (kama bado halijafanyika tayari) na hii ni hatari kwa usalama wa nchi.
Tunaenda kupigwa na kitu kizito jamani, amkeni tukatae mafisadi, hili bomu linalokuja tutabaki mdomo wazi!
Ni kwanini haya yanatokea chini ya Utawala wa Rais Samia?
Mkuu bwana, eti kazi ya kwanza ni kutoa misaada😹😹😹 sikumsikia kipindi cha hapo ati, alistaafu kwa muda au ndio alikuwa anapanga hii comeback ya uchafuzi?
Acha ukuda.Wakuu,

Lugumi ni muuza siraha za kivita Kwa majeshi ya nchi mbalimbali kama Israel, Egypt,na nchi sana za africaDuh, hii kali.
Hivi, huwa ana kazi gani? Sijawahi kabisa kuelewa huwa anafanya mishe gani, na wapi.
Kwani kwenye hii regime ni fisadi gani papa asietesa .Wakuu,
Kama mmeona sasa hivi karibu kila siku Lugumi yuko kwenye media, mara katoa msaada kwa watoto yatima, mara anajengea yatima nyumba, mara kaalika watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu kufanya dua, mara sijui kaenda kulisha wapi, yaani ni heka heka mtindo mmoja.
Na Millard kama kawa kwenye ishu hizi hakosi. Siyo siri kuwa anatumika na watu mbalimbali mashuhuri kuwasafisha kutokana na uozo wanaofanya kwa maslahi binafsi.
Mitume na manabii wenye rekodi za ajabu wanamtumia Millard awasafishe, wanasiasa wapuuzi wakitaka mambo yao yapaishwe kuonekana wema na wanawatumikia watanzania kama mama Teresa Millard ndio kimbilio lao, GSM (Home Shopping Center) wamemtumia vizuri kuwanfanya raia wawaone wema wakati ni wachafu zaidi ya uchafu wenyewe (kupata picha ya ufirauni wa kina GSM soma hapa -.Mfanyabiashara Said Mohammed Saad wa Home Shopping Center (GSM Foundation)
Mfanyabiashara Said Mohammed Saad Utangulizi Mfanyabiashara Said Mohammed Saad anamiliki Kampuni ya Home Shopping Center iliyopo Kariakoo Mtaa wa Swahili na Msimbazi katika Jengo la Ghorofa lenye vioo vilivyochorwa picha za waigizaji wa Kikundi cha Orijino Commedy kinachorusha vipindi...www.jamiiforums.com
Millard kafuta habari zote za ufisadi kuhusu Lugumi unafikiri amefanya hivyo bila kuachiwa mzigo? Kwa hili chapuo anafanya kuhakikisha yupo machoni petu kila wakati atakuwa kamegewa mzigo mchafu wa kutosha.
Ninavyofahamu Lugumi ako na skendo za ufisadi wa kutosha, na nasikia ni mafia kwelikweli.
Hili chapuo si bahati mbaya, limekuja ghafla na kwa kasi ya ajabu, inadaiwa anaenda kuingizwa Jeshini (kama bado halijafanyika tayari) na hii ni hatari kwa usalama wa nchi.
Tunaenda kupigwa na kitu kizito jamani, amkeni tukatae mafisadi, hili bomu linalokuja tutabaki mdomo wazi!
Ni kwanini haya yanatokea chini ya Utawala wa Rais Samia?
Wengi huhoji biashara ya Lugumi ni ipi?
Kwa haraka haraka kama ulifahamu biashara za manji ndio hizo anafanya Lugumi hadi leo.
Majuzi Said Hamad Lugumi alisikika akisema mwaka 2013 Manji alimkopesha dollar milioni 40, watu wakashangaa, anyway hua anasema akikwama anaomba msaada Israel unajua kwa nini?
Pia soma: Hili chapuo analopigiwa Lugumi ili kumsafisha linatia shaka. Mamlaka zisichukulie kama jambo la kawaida!
Israel matajiri wa viwanda vya silaha mbalimbali Lugumi enterprise's ni certified agent wa kusambaza au kuuza silaha na vifaa vya kijeshi kwenye nchi mbalimbali, iwe ulaya mashariki, America na pengine pote hadi nchi nyingi za Afrika huko ndio Lugumi hupatia pesa zake.
Ukisema Lugumi ni fisadi ladies and Gentlemen unaudanganya moyo wako maana hata jiwe alijaribu kutaka aishi kama shetani aliishia kuona kina kirefu.
Hata ile tenda ya polisi mzigo waliuzuia bandarini ndio wakaona wamtarget ili wamfilisi lakini kuja kushtuka Lugumi ni mogul supplier wa bidhaa hizo nchi nyingi tu.
Pia soma: Vyombo vya Habari Tanzania vyawekwa Mfukoni mwa Lugumi. Taarifa zake za Ufisadi zaondolewa Mitandaoni
Watanzania biashara sio duka Tu UNAPOKUA NA connection dunia ni rahisi sana, jamaa anaingiza pesa ndefu kuliko mnavofikiri.
Tuachane na kulaumu waliofanikiwa, watu walishaandaa njia zao za pesa kitambo na tuache ujuaji tupambane nasi kusaka mafanikio maana kutokufanikiwa duniani ni aibu.