Hili chapuo analopigiwa Lugumi ili kumsafisha linatia shaka. Mamlaka zisichukulie kama jambo la kawaida!

Wapi pengine duniani alishafanya biashara ya silaha nje ya Tanzania? Nchi gani nyingine alishawahi kuiuzia silaha?.

Hiyo picha sio issue mkuu, wapo watu wanapicha wamepiga wamesimama jirani na kushika Abraham tanks, B52, F35, migs, Sukhoi nk.

Tuache kutetea ujinga.
 
Usituone watoto yaani picha akiwa duka la nje la siraha i justify biashara zake.
Lugumi na Chief Godlove kuna siku watasema ukweli tu.
 
Aliachana naye baada ya Lugumi kuamua kujitotolea kumshawishi Mange kwa kumlipa mamilion ya dollars asiendelee kuanika na kumchafua mambo yake faraghani. Hicho tu ndo Lugumi alipona kwa jamaa.
 
Wakuu Jf imekuwa hacked au
Uki ingial kwenye hio Post ya lugumi mharir akiwa gwanseri


Lakini hiyo post ikifunguka inabadilika na kuwa na title nyingine na mharir ni Cute Wife
 

Ngoja tuzidi kumpa chapuo, maana hata ku comment hapa tunaongeza advertising strategy ya Lugumi Enterprises Limited kwa ulimwengu wote na faida kwa taifa .
 
Hizo silaha hata wewe unaweza enda trade expo za China, Russia, UAE au ya pamoja ya Ulaya ukapiga picha.

Pia Lugumi hana hadhi ya kuuza silaha Israel, wala hana hadhi kuuza silaha Egypt wale wana military industrial complex kubwa. Tenda za silaha Egypt hata mtu mwenye hela kama Mo Dewji hasogelei. Zina security clearance kubwa na zinafanywa na watu wa ndani wa vyombo vya ulinzi na usalama ambao huwa wanarithishana kwa vizazi.

Lugumi tuseme ni arms dealer. Tena wa level za kawaida na hela zote kapatia bongo kwa tenda ambazo zina makandokando. Ni dalali wa silaha, akikazana anakuwa kama Bulgarians na anakuwa wanted.
 
Legitimate of lugumi ni JK 😂,
Chura kiziwi anavimba but supplier wa security yake ni lugumi,

Nchi ilishakufa miaka mingi ,Wacha wahuni wajipigie
Blender ndiyo maana kuna wakuda wanakesha wakimuomba mungu amtume malaika mchukua roho fasta ili nchi eti ipone. Of course kuna ujinga mwingi sana hata Dkt Samia hawezi kuusimamia inabidi aangalie tu maana roho yake iko mikononi mwao muda wowote. Ukitaka kuthibitisha kumbuka enzi za Dkt Kikwete na Said Mwema aliwahi sema “Tukiwagusa hao nchi itayumba”. So unategemea nini as long as bado yupo hai. Ila tunaamini nchi yetu imejengwa kwenye misingi ya uadilifu na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama ni waaminifu, hili jambo ni long term strategy, hata hawa kina Lugumi wote watakuja kupotea na kila kilichoibiwa kitarudi, ni suala la muda tu!
 
Binadamu tumejaa chuki, Husda na Wivu huu wote ni WIVU UNAWASUMBUA.. Ukitoboa watasema Umetoa kafara Umeroga Usipotoboa utaambiwa Umerogwa Umetolewa kafara Ilimradi tu watu waone tuko level Moja ya Umaskini wa kuamkia kuamkia Viporo vya jana usiku.

Kazi kwelikweli
 
Ilimradi napata furaha kwamba Simba na Yanga wanaipaisha Ligi yetu,hayo mengine sijali kabisa. Ikiwezekana waigawane nchi, sisi wengine tuwe Wapangaji, ni sawa tuuuu....mambo ya hii nchi yanakatisha tamaa sana.
 
Mkuu Mudawote Kuna viashiria vya ukombozi naziona sooner kutokea, maana kuna kete ngumu zinasukumwa kwa Kasi ya ajabu
 
He used to be there hakuna jipya
Ni supplier wa bidhaa militalia we elewa ivo
Lugumi ni supplier wa silaha ,je hizo tenda zinatangazwaga wapi na anapataje? hana kama ni emergency for security reasons hapo ndio kuna changamoto ya mianya mizuri
 
Amka ukakojoe, hii ndoto inatisha Sana , Kama sio kuogopesha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…