Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliachana naye baada ya Lugumi kuamua kujitotolea kumshawishi Mange kwa kumlipa mamilion ya dollars asiendelee kuanika na kumchafua mambo yake faraghani. Hicho tu ndo Lugumi alipona kwa jamaa.Mheshimiwa alijaribu kumtikisa akakuta ni mti wa zege, akaachana naye... Na ile kesi yake ya mashine za Finger Print kwa vituo vya polisi nchi nzima iliishayeyuka...
Kangi alimpiga mkwara Mbuzi akapotea yeye...
Eti tajiri ajenge tu jengo la ghorofa nane kwa ajili ya watoto yatima? Miaka ijayo tutakuja kujua kunani kuhusu hawa watoto 800 na hilo jengo..Tusisahau ya Cambiaso na Football Academy.
Kisa Kobaaz mwenzako?Acha ukuda.
Wengi huhoji biashara ya Lugumi ni ipi?
Kwa haraka haraka kama ulifahamu biashara za manji ndio hizo anafanya Lugumi hadi leo.
Majuzi Said Hamad Lugumi alisikika akisema mwaka 2013 Manji alimkopesha dollar milioni 40, watu wakashangaa, anyway hua anasema akikwama anaomba msaada Israel unajua kwa nini?
Pia soma: Hili chapuo analopigiwa Lugumi ili kumsafisha linatia shaka. Mamlaka zisichukulie kama jambo la kawaida!
Israel matajiri wa viwanda vya silaha mbalimbali Lugumi enterprise's ni certified agent wa kusambaza au kuuza silaha na vifaa vya kijeshi kwenye nchi mbalimbali, iwe ulaya mashariki, America na pengine pote hadi nchi nyingi za Afrika huko ndio Lugumi hupatia pesa zake.
Ukisema Lugumi ni fisadi ladies and Gentlemen unaudanganya moyo wako maana hata jiwe alijaribu kutaka aishi kama shetani aliishia kuona kina kirefu.
Hata ile tenda ya polisi mzigo waliuzuia bandarini ndio wakaona wamtarget ili wamfilisi lakini kuja kushtuka Lugumi ni mogul supplier wa bidhaa hizo nchi nyingi tu.
Pia soma: Vyombo vya Habari Tanzania vyawekwa Mfukoni mwa Lugumi. Taarifa zake za Ufisadi zaondolewa Mitandaoni
Watanzania biashara sio duka Tu UNAPOKUA NA connection dunia ni rahisi sana, jamaa anaingiza pesa ndefu kuliko mnavofikiri.
Tuachane na kulaumu waliofanikiwa, watu walishaandaa njia zao za pesa kitambo na tuache ujuaji tupambane nasi kusaka mafanikio maana kutokufanikiwa duniani ni aibu.
Usituone watoto yaani picha akiwa duka la nje la siraha i justify biashara zake.
Lugumi na Chief Godlove kuna siku watasema ukweli tu.
Hizo silaha hata wewe unaweza enda trade expo za China, Russia, UAE au ya pamoja ya Ulaya ukapiga picha.Wengi huhoji biashara ya Lugumi ni ipi?
Kwa haraka haraka kama ulifahamu biashara za manji ndio hizo anafanya Lugumi hadi leo.
Majuzi Said Hamad Lugumi alisikika akisema mwaka 2013 Manji alimkopesha dollar milioni 40, watu wakashangaa, anyway hua anasema akikwama anaomba msaada Israel unajua kwa nini?
Pia soma: Hili chapuo analopigiwa Lugumi ili kumsafisha linatia shaka. Mamlaka zisichukulie kama jambo la kawaida!
Israel matajiri wa viwanda vya silaha mbalimbali Lugumi enterprise's ni certified agent wa kusambaza au kuuza silaha na vifaa vya kijeshi kwenye nchi mbalimbali, iwe ulaya mashariki, America na pengine pote hadi nchi nyingi za Afrika huko ndio Lugumi hupatia pesa zake.
Ukisema Lugumi ni fisadi ladies and Gentlemen unaudanganya moyo wako maana hata jiwe alijaribu kutaka aishi kama shetani aliishia kuona kina kirefu.
Hata ile tenda ya polisi mzigo waliuzuia bandarini ndio wakaona wamtarget ili wamfilisi lakini kuja kushtuka Lugumi ni mogul supplier wa bidhaa hizo nchi nyingi tu.
Pia soma: Vyombo vya Habari Tanzania vyawekwa Mfukoni mwa Lugumi. Taarifa zake za Ufisadi zaondolewa Mitandaoni
Watanzania biashara sio duka Tu UNAPOKUA NA connection dunia ni rahisi sana, jamaa anaingiza pesa ndefu kuliko mnavofikiri.
Tuachane na kulaumu waliofanikiwa, watu walishaandaa njia zao za pesa kitambo na tuache ujuaji tupambane nasi kusaka mafanikio maana kutokufanikiwa duniani ni aibu.
Blender ndiyo maana kuna wakuda wanakesha wakimuomba mungu amtume malaika mchukua roho fasta ili nchi eti ipone. Of course kuna ujinga mwingi sana hata Dkt Samia hawezi kuusimamia inabidi aangalie tu maana roho yake iko mikononi mwao muda wowote. Ukitaka kuthibitisha kumbuka enzi za Dkt Kikwete na Said Mwema aliwahi sema “Tukiwagusa hao nchi itayumba”. So unategemea nini as long as bado yupo hai. Ila tunaamini nchi yetu imejengwa kwenye misingi ya uadilifu na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama ni waaminifu, hili jambo ni long term strategy, hata hawa kina Lugumi wote watakuja kupotea na kila kilichoibiwa kitarudi, ni suala la muda tu!Legitimate of lugumi ni JK 😂,
Chura kiziwi anavimba but supplier wa security yake ni lugumi,
Nchi ilishakufa miaka mingi ,Wacha wahuni wajipigie
Mkuu Mudawote Kuna viashiria vya ukombozi naziona sooner kutokea, maana kuna kete ngumu zinasukumwa kwa Kasi ya ajabuBlender ndiyo maana kuna wakuda wanakesha wakimuomba mungu amtume malaika mchukua roho fasta ili nchi eti ipone. Of course kuna ujinga mwingi sana hata Dkt Samia hawezi kuusimamia inabidi aangalie tu maana roho yake iko mikononi mwao muda wowote. Ukitaka kuthibitisha kumbuka enzi za Dkt Kikwete na Said Mwema aliwahi sema “Tukiwagusa hao nchi itayumba”. So unategemea nini as long as bado yupo hai. Ila tunaamini nchi yetu imejengwa kwenye misingi ya uadilifu na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama ni waaminifu, hili jambo ni long term strategy, hata hawa kina Lugumi wote watakuja kupotea na kila kilichoibiwa kitarudi, ni suala la muda tu!
Lugumi ni supplier wa silaha ,je hizo tenda zinatangazwaga wapi na anapataje? hana kama ni emergency for security reasons hapo ndio kuna changamoto ya mianya mizuriHe used to be there hakuna jipya
Ni supplier wa bidhaa militalia we elewa ivo
Amka ukakojoe, hii ndoto inatisha Sana , Kama sio kuogopesha.Tumeona wachafu wote walirudishwa vitini na kisha wakaota mapembe, akaanza kuwatoa.
Sio huyo tu, Jisiemu, Mangji, Seedti, Kinamna, Roastharm...mara Abdibull naye katokezea etc.
- Maali za mma zikaanza kwenda
- Pesa za wageni zikapotea
- Mpaka Laisy akawa anatunza pesa za wageni kama wafanyavyo akina papaa.
- Mitandoni Mashuka ya mmasai yakaanza kutapanywa
- Gambling imekuwa ni mchezo wa kutangazwa kwa nguvu na Chawaz wanaomtaja mzazi!
Boom, Lungumi naye huyo...Biometric vituo vya raia hamna, pesa katia kibindoni, leo ni mtu huru tu uraiani!
Ndoto ilipozidi kuwa ya kutisha, nikashtuka....