Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Mkuu hii amekufa sekunde ya 37 kwasababu mpaka muda huu nimebaki na kete 4 ila kingi sijafika.maana nilimbana akawa anakohoa nikahisi ana Corona.kapita baada ya kutoa kete zote kabaki na moja.Updates;
Baada ya IFRS kupindua meza, sasa msimamo umebadilika ndugu watazamaji.
1. IFRS kwa 57 seconds (less than a minute); hii imeipita record ya Usain Bolt ya kukimbia mita 100.
2. radicals kwa dakika 1 na sekunde 9; ameahidi kupambana kuhakikisha anauchukua ubingwa.
3. wa ukae kwa dakika 1 na sekunde 13; mpaka sasa hajatoa tamko kama anaendelea au la huyu BIN KULIJUA.
Cutoff ni kesho Jumapili tar 10 May saa tano na dakika 59 usiku.
Tunaomba screenshot ya gemu ulizoshinda..
Mkuu hii amekufa sekunde ya 37 kwasababu mpaka muda huu nimebaki na kete 4 ila kingi sijafika.maana nilimbana akawa anakohoa nikahisi ana Corona.kapita baada ya kutoa kete zote kabaki na moja.
Huyu jamaa Leo anateseka sanaView attachment 1445148View attachment 1445149View attachment 1445150
Sent using Jamii Forums mobile app
PoaSheria ya mashindano ni muda ulioandikwa pale kwenye You Won.
The Winner Is .... then tunasoma muda.
Mkuu, ngoja niweke simu chaji.......Nakwea kileleni mapemaa mtasoma ubaoUpdates;
Baada ya IFRS kupindua meza, sasa msimamo umebadilika ndugu watazamaji.
1. IFRS kwa 57 seconds (less than a minute); hii imeipita record ya Usain Bolt ya kukimbia mita 100.
2. radicals kwa dakika 1 na sekunde 9; ameahidi kupambana kuhakikisha anauchukua ubingwa.
3. wa ukae kwa dakika 1 na sekunde 13; mpaka sasa hajatoa tamko kama anaendelea au la huyu BIN KULIJUA.
Cutoff ni kesho Jumapili tar 10 May saa tano na dakika 59 usiku.
Kamisaa tunakushukuru sana, the game is free and fair, ila nahisi wa ukae kaenda kuwafuata mabingwa wake, maana kimya kingi sanaSheria ya mashindano ni muda ulioandikwa pale kwenye You Won.
The Winner Is .... then tunasoma muda.
Kamisaa tunakushukuru sana, the game is free and fair, ila nahisi wa ukae kaenda kuwafuata mabingwa wake, maana kimya kingi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio playstore, andika checkers by dalmaxMleta mada hilo game lipo play sore?
Broh ,kuna watu wanapiga draft kuliko hata hii dalmax,,,ninayo hii na huwa naicheza ,,,Hahahah mi nimetoa droo mbili sifungwi kizembe namtaka bingwa wa dar es salaam
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana ,,,Hili draft katika game 10 ukishinda 3, wewe ni moja ya wachezaji bora wa draft TANZANIA
Updates;
Baada ya IFRS kupindua meza, sasa msimamo umebadilika ndugu watazamaji.
1. IFRS kwa 57 seconds (less than a minute); hii imeipita record ya Usain Bolt ya kukimbia mita 100.
2. radicals kwa dakika 1 na sekunde 9; ameahidi kupambana kuhakikisha anauchukua ubingwa.
3. wa ukae kwa dakika 1 na sekunde 13; mpaka sasa hajatoa tamko kama anaendelea au la huyu BIN KULIJUA.
Cutoff ni kesho Jumapili tar 10 May saa tano na dakika 59 usiku.
Ukiambiwa watu wanajua ujue wanajua kweli huwa hawaabahatishi namsubiri wakuivunja records hiyoView attachment 1445288View attachment 1445289
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo wa kati na piga screenshot dakika za Dalmax zilikuwa zinasoma baada ya records hiyo sasa navunja records yangu mwenyeweBIN KULIJUA kuna mkanganyo kwenye muda wa Dalmax kwenye hizi screenshot, hebu toa ufafanuzi, ni za draft moja au zimetofautiana?
Naona ya juu ina 4:46 na ya chini ina 3:15.