Hili draft la Dalmax la Google Play limenishinda aisee, hii app ina mchezo mkubwa sana

Updates;

Baada ya IFRS kupindua meza, sasa msimamo umebadilika ndugu watazamaji.

1. IFRS kwa 57 seconds (less than a minute); hii imeipita record ya Usain Bolt ya kukimbia mita 100.
2. radicals kwa dakika 1 na sekunde 9; ameahidi kupambana kuhakikisha anauchukua ubingwa.
3. wa ukae kwa dakika 1 na sekunde 13; mpaka sasa hajatoa tamko kama anaendelea au la huyu BIN KULIJUA.

Cutoff ni kesho Jumapili tar 10 May saa tano na dakika 59 usiku.
 
Mkuu hii amekufa sekunde ya 37 kwasababu mpaka muda huu nimebaki na kete 4 ila kingi sijafika.maana nilimbana akawa anakohoa nikahisi ana Corona.kapita baada ya kutoa kete zote kabaki na moja.
Huyu jamaa Leo anateseka sana
Screenshot_20200509-200247_Dalmax%20Checkers.jpeg
Screenshot_20200509-200511_Dalmax%20Checkers.jpeg
Screenshot_20200509-200507_Dalmax%20Checkers.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Updates;

Baada ya IFRS kupindua meza, sasa msimamo umebadilika ndugu watazamaji.

1. IFRS kwa 57 seconds (less than a minute); hii imeipita record ya Usain Bolt ya kukimbia mita 100.
2. radicals kwa dakika 1 na sekunde 9; ameahidi kupambana kuhakikisha anauchukua ubingwa.
3. wa ukae kwa dakika 1 na sekunde 13; mpaka sasa hajatoa tamko kama anaendelea au la huyu BIN KULIJUA.

Cutoff ni kesho Jumapili tar 10 May saa tano na dakika 59 usiku.
Mkuu, ngoja niweke simu chaji.......Nakwea kileleni mapemaa mtasoma ubao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kamisaa tunakushukuru sana, the game is free and fair, ila nahisi wa ukae kaenda kuwafuata mabingwa wake, maana kimya kingi sana

Sent using Jamii Forums mobile app

Sikutegemea kabisa kama IFRS atapindua meza kwa namna hiyo, nilishajua atabaki kwenye namba 3 huko.

Leo kabla sijalala nitajitahidi nimpige ndani ya dakika 5 hivi.
 
Jamaa ni noma. Nimekuta nalo nashangaa naukuta uzi humu.

Shida lenyewe halisikii yale maneno mbofu mbofu ya wapiga kete.

Ni mwendo wa kimya kimya tu. [emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using iphone pro max
 
Naona umeshayaona majibu yangu Mkuu nasubiri wa kuivunja hiyo records ili niwaonyeshe cha mtema kuni
Updates;

Baada ya IFRS kupindua meza, sasa msimamo umebadilika ndugu watazamaji.

1. IFRS kwa 57 seconds (less than a minute); hii imeipita record ya Usain Bolt ya kukimbia mita 100.
2. radicals kwa dakika 1 na sekunde 9; ameahidi kupambana kuhakikisha anauchukua ubingwa.
3. wa ukae kwa dakika 1 na sekunde 13; mpaka sasa hajatoa tamko kama anaendelea au la huyu BIN KULIJUA.

Cutoff ni kesho Jumapili tar 10 May saa tano na dakika 59 usiku.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
BIN KULIJUA kuna mkanganyo kwenye muda wa Dalmax kwenye hizi screenshot, hebu toa ufafanuzi, ni za draft moja au zimetofautiana?

Naona ya juu ina 4:46 na ya chini ina 3:15.
Hapo wa kati na piga screenshot dakika za Dalmax zilikuwa zinasoma baada ya records hiyo sasa navunja records yangu mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom